SERA zetu NCCR-MAGEUZI kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020
Chama cha NCCR-MAGEUZI kinajivunia kufanya siasa za kizalendo, tunajivunia Itikadi yetu ya UTU. Ambayo moja ya mambo muhimu ya itikadi ya UTU ni...
Ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,Kheri James katika Mkoa wa Arusha ,imekuwa na manufaa makubwa kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya ccm Mkoa waliopo kwenye kata baada ya kigogo mmoja anayewania...
Katika uchunguzi uliofanyika hivi kari buni katika chama kinachoongozwa na Dkt. Magufuli imeonyesha wale wenye elimu za chini watatupiliwa mbali katika mchakato wa kuania ubunge kwa tiketi ya ccm...
Naibu Spika wa Bunge la Dkt. Tulia Ackson ameweka wazi nia ya kugombea Ubunge Mbeya japokuwa hajaweka wazi jimbo atakalogombea
Naibu huyo amesema atatoa taarifa kuhusu Jimbo hilo muda...
Mpaka sasa CHADEMA ina watia nia watano kwenye kinyang'anyiro cha kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwenye ushindani huu; namuona Tundu Lissu akishindana kwa ukaribu zaidi na...
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa...
Ndugu zangu,
Ghafla baada ya mwamba kujitosa, lile tangazo la Tundu Lissu kuomba michango ''kumsaidia kugombea urais'' limepotea. Tundu Lissu au wafuasi wake sio wajinga kwani sasa wanaelewa nini...
Nawaambia haya, kwa uzoefu wangu ndani ya Serikali, CCM na kwenye Idara Nyeti za nchi hii. Nisikilizeni na muelewe:
1. Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni zaidi ya uchaguzi kati ya CCM na vyama vya...
Kidumu Chama cha Mapinduzi
Napenda kutumia fursa hii kuwasihi na kuwahimiza vijana wa Chama Cha Mapinduzi tujitokeze kwa wingi katika kuchukua fomu za kuwania nafasi za kuteuliwa na chama chetu...
Iringa siyo mkoa wa mchezo mchezo.
Najua kwamba Balozi Augustine Mahiga (RIP) ndio angechukua ubunge wa hapa lakini Mungu amempenda zaidi.
Sasa kuna azunguka zunguka kudai kimetumwa na mwenezi...
MAGUFULI AMEHARIBU, ATAFUNDISHWA NA LISSU
UCHAGUZI wa Oktoba mwaka huu 2020 ni kati ya Ubaya na Wema. Kifupi, ni kati ya Faraja yetu na Masimango ya wenye Madaraka.
Siku ya Uchaguzi ukiiweka...
Mwanamuziki Rajab Abdul, maarufu Harmonize ameweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika Jimbo la Tandahimba mkoani Mtwara, miezi kadhaa baada ya Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli kupendekeza...
Ninapata taabu kidogo kuelewa falsafa ya CHADEMA katika hili. Miaka yote ya nyuma hadi uchaguzi mkuu wa chama cha CHADEMA uliofanyika mwaka Jana, ulionyesha kwamba, kiongozi mmoja anayeaminika na...
Ilani ya uchaguzi itakayochochea ukuaji wa uchumi kwa wote na kuongezea serikali kodi ndio inafaa.
Vyama vya Siasa inatakiwa vije na Ilani na Mipango ambayo inampa Mtanzania Uhuru wa kuchagua ni...
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.
Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.
Sijui...
Umuofia kwenu,
Huu ni mwezi wa kuchukua fomu, mtu yeyote kupitia chama anachokiamini anaweza kuchukua fomu ya kugombea urais, tofauti ni pale CCM walioamua kukinzana na katiba yao kuamua...
Hatujapata serikali inayotaka maendeleo bali tumetaka serikali kwa kutatua kero ndogondogo.
Elimu ya Cheti tu bado haijasaidia kutatua changamoto zetu.
Utawala usioendana na sauti za wananchi...
Tunayo mambo mengi tu ya Muungano lakini suala la Uraisi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar siyo mojawapo.
Hivi sasa Chama cha Mapinduzi kiko busy kutafuta Mgombea Uraisi wa Zanzibar, katika...
Wakuu salamu za heri kwenu.
Ninaomba kujua Form za maombi ya kuomba ridhaa kugombea ubunge ndani ya CCM zinatoka lini. Ubunge wa kawaida na wa viti maalumu.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.