Uchaguzi 2020 Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu 2020 ni kati ya Ubaya na Wema

mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
6,054
5,432
MAGUFULI AMEHARIBU, ATAFUNDISHWA NA LISSU

UCHAGUZI wa Oktoba mwaka huu 2020 ni kati ya Ubaya na Wema. Kifupi, ni kati ya Faraja yetu na Masimango ya wenye Madaraka.

Siku ya Uchaguzi ukiiweka tiki yako kwa Magufuli, ujue umeuruhusu tena Ubaya uendelee kwa miaka mingine mitano.

Utakuwa umeruhusu Masimango na kejeli viendelee tena kwa miaka mingine mitano. Fikiria umefikia wakati sasa Nchi yetu ina Yesu na wengine wanamuita Nabii aliyechelewa kuja.

Rais ni Mfariji Mkuu wa Taifa, hebu tafakarini Magufuli ni Mtu wa aina gani. Unapotafakari jambo hili, ni vyema ukakumbuka alichowafanyia Watanzania wenzetu wa Bukoba waliokumbwa na tetemeko la Ardhi miaka miwili iliyopita.

Unapomtazama tena Magufuli kama Mgombea wa Urais kupitia CCM kwa miaka mingine mitano, usiwasahau wenzetu wa Mikoa ya Kusini walivyoteswa kwa zao lao la Korosho mwaka mmoja uliopita.

Unapowaza kumchagua tena Magufuli, usisahau hali ya Bunge na Mahakama zetu ilivyo hivi sasa. Mahakama inapofika hapa ilipo sasa, ujue mimi na wewe ni washitakiwa watarajiwa bila kujali hizi Kadi zetu za Vyama tunazomiliki kwenye Mikoba na Waleti zetu.

Unapowaza kumchagua tena Magufuli, ukumbuke hali yako ya Kipato ilivyo hapo uliopo bila kujali upo Chama kipi cha Siasa wala Dini gani.
Unapofikiria kumrudisha tena Magufuli Ikulu, ukumbuke Uhuru wako wa kutoa maoni kwa Serikali yako uliyoiweka Madarakani ulivyo leo hii. Hapa hatuangalii Vyama wala Dini zetu, kila mmoja wetu anapaswa kutafakari vizuri sana.

Unapowaza tena kumrudisha Magufuli kwenye haya Mamlaka yanayomfanya afananishwe na Yesu wa Nazaleti, ukumbuke ni jinsi gani hali za Watumishi, Wakulima, Wavuvi, Wafanyakazi, Bodaboda na Machinga zilivyo sasa.

Unapowaza kumchagua tena Magufuli usisahau Watanzania wenzetu wanavyotekwa na kupotezwa bila yeye kama Kiongozi wa Nchi kuonyesha kukerwa wala kukemea hali hiyo.

Hebu jiulize Kiongozi anafurahia kuona Watu wake wanatekwa, kupotezwa na wengine anashuhudia wakiumizwa vibaya na kuuawa kikatili hadharani halafu haonyi wala kukemea chochote kile.

Unadhani huyu anaweza kuwa ni Mtu wa aina gani kwa fikra zako?
Unapofikiria tena kumchagua huyu Magufuli kurudi Ikulu, ukumbuke alivyo Mbaguzi na Mtu wa kujipendelea.

Utafakari kama Nyerere angekuwa na hulka kama zake leo Butiama ingekuwa wapi. Hebu fikiria kwao Mkapa kule Masasi palivyo leo hii. Fikiria Kijiji cha Msoga kwao na Jakaya kule Pwani palivyo leo.
Huyu hafai kuendelea tena kuwepo kwenye Mamlaka hayo. Kadri siku zinavyokwenda, tunaona kabisa kwamba, ataanza kuabudiwa Madhehebuni na Misikitini zaidi hata ya Mungu kama tusipotazama mbali zaidi ya hapa tulipo.

Tazama baadhi ya Wasanii wa Nchi hii wanavyojipendeza kwa Sifa na Mapambio. Tazama baadhi ya Wanasiasa wanavyoanza kumuita Yesu au Nabii aliyechelewa kuja Tanzania.

Full kujipendekeza kila kona, kila mahali. Watu wame-panic na imefikia wakati wanaona hakuna alternative zaidi hata ya kumuita Yesu.
Hali inazidi kuwa mbaya zaidi. Ukweli hata wewe unayesoma hapa unaujua ila na wewe umeamua kuwa mnafiki tu, ili upate cha kuweka tumboni.

Lissu ni tiba mbadala ya hii hali tunayoipia sasa. Tumchague Lissu bila kuangalia Chama chake anachotokea.

Zaidi sana, tuutazame mchango wake katika kuiweka sawa Nchi yetu irejee kwenye misingi ya Haki, Utu, Ubinadamu na Utawala wa Sheria kama zamani.

Lissu ndiye Rais wetu 2020.
Francis M. Garatwa
 
Lissu hakuna kituo hata kimoja anaweza kuwa mbele ya Magufuli.

Kipigo atachopewa October anaweza kuwachukia Watanzania wote.
 
Kwanza Lissu kafanya maendeleo gani wakati akiwa mbunge?.kuropoka na utendaji ni vitu viwili tofauti.
 
Upinzani hakuna wa kumshinda mgombea was CCM,hata kama angekuwa sio Magufuli kwa sababu zifuatazo:
...Upinzani ni waoga
...Upinzani ni wanafiki
...Upinzani hawana public figure
...Wapinzani hawana nguvu
...Wapinzani hawana mbinu
...Wanatumia nguvu nyingi
...Hawako smart kwenye siasa
...Hwajui kutumia akili zao.
...Ni wepesi kuyumbishwa.
Kwa sababu hiyo CCM itashinda,Wapinzani watapata Wabunge tuu,wataendelea kupiga kelele bungeni kwa miaka 5 kuisindikiza CCM,naumia kuandika hivi lakini ndo ukweli.
 
Ushindani kati ya Rais Magufuli na Lissu, ushindi kwa Rais Magufuli ni mapema asubuhi. itoshe kusema historia itaandikwa uchaguzi wa mwaka huu ambao itaacha maumivu makali upande wa upinzani.
 
MAGUFULI AMEHARIBU, ATAFUNDISHWA NA LISSU

UCHAGUZI wa Oktoba mwaka huu 2020 ni kati ya Ubaya na Wema. Kifupi, ni kati ya Faraja yetu na Masimango ya wenye Madaraka.

Siku ya Uchaguzi ukiiweka tiki yako kwa Magufuli, ujue umeuruhusu tena Ubaya uendelee kwa miaka mingine mitano.

Utakuwa umeruhusu Masimango na kejeli viendelee tena kwa miaka mingine mitano. Fikiria umefikia wakati sasa Nchi yetu ina Yesu na wengine wanamuita Nabii aliyechelewa kuja.

Rais ni Mfariji Mkuu wa Taifa, hebu tafakarini Magufuli ni Mtu wa aina gani. Unapotafakari jambo hili, ni vyema ukakumbuka alichowafanyia Watanzania wenzetu wa Bukoba waliokumbwa na tetemeko la Ardhi miaka miwili iliyopita.

Unapomtazama tena Magufuli kama Mgombea wa Urais kupitia CCM kwa miaka mingine mitano, usiwasahau wenzetu wa Mikoa ya Kusini walivyoteswa kwa zao lao la Korosho mwaka mmoja uliopita.

Unapowaza kumchagua tena Magufuli, usisahau hali ya Bunge na Mahakama zetu ilivyo hivi sasa. Mahakama inapofika hapa ilipo sasa, ujue mimi na wewe ni washitakiwa watarajiwa bila kujali hizi Kadi zetu za Vyama tunazomiliki kwenye Mikoba na Waleti zetu.

Unapowaza kumchagua tena Magufuli, ukumbuke hali yako ya Kipato ilivyo hapo uliopo bila kujali upo Chama kipi cha Siasa wala Dini gani.
Unapofikiria kumrudisha tena Magufuli Ikulu, ukumbuke Uhuru wako wa kutoa maoni kwa Serikali yako uliyoiweka Madarakani ulivyo leo hii. Hapa hatuangalii Vyama wala Dini zetu, kila mmoja wetu anapaswa kutafakari vizuri sana.

Unapowaza tena kumrudisha Magufuli kwenye haya Mamlaka yanayomfanya afananishwe na Yesu wa Nazaleti, ukumbuke ni jinsi gani hali za Watumishi, Wakulima, Wavuvi, Wafanyakazi, Bodaboda na Machinga zilivyo sasa.

Unapowaza kumchagua tena Magufuli usisahau Watanzania wenzetu wanavyotekwa na kupotezwa bila yeye kama Kiongozi wa Nchi kuonyesha kukerwa wala kukemea hali hiyo.

Hebu jiulize Kiongozi anafurahia kuona Watu wake wanatekwa, kupotezwa na wengine anashuhudia wakiumizwa vibaya na kuuawa kikatili hadharani halafu haonyi wala kukemea chochote kile.

Unadhani huyu anaweza kuwa ni Mtu wa aina gani kwa fikra zako?
Unapofikiria tena kumchagua huyu Magufuli kurudi Ikulu, ukumbuke alivyo Mbaguzi na Mtu wa kujipendelea.

Utafakari kama Nyerere angekuwa na hulka kama zake leo Butiama ingekuwa wapi. Hebu fikiria kwao Mkapa kule Masasi palivyo leo hii. Fikiria Kijiji cha Msoga kwao na Jakaya kule Pwani palivyo leo.
Huyu hafai kuendelea tena kuwepo kwenye Mamlaka hayo. Kadri siku zinavyokwenda, tunaona kabisa kwamba, ataanza kuabudiwa Madhehebuni na Misikitini zaidi hata ya Mungu kama tusipotazama mbali zaidi ya hapa tulipo.

Tazama baadhi ya Wasanii wa Nchi hii wanavyojipendeza kwa Sifa na Mapambio. Tazama baadhi ya Wanasiasa wanavyoanza kumuita Yesu au Nabii aliyechelewa kuja Tanzania.

Full kujipendekeza kila kona, kila mahali. Watu wame-panic na imefikia wakati wanaona hakuna alternative zaidi hata ya kumuita Yesu.
Hali inazidi kuwa mbaya zaidi. Ukweli hata wewe unayesoma hapa unaujua ila na wewe umeamua kuwa mnafiki tu, ili upate cha kuweka tumboni.

Lissu ni tiba mbadala ya hii hali tunayoipia sasa. Tumchague Lissu bila kuangalia Chama chake anachotokea.

Zaidi sana, tuutazame mchango wake katika kuiweka sawa Nchi yetu irejee kwenye misingi ya Haki, Utu, Ubinadamu na Utawala wa Sheria kama zamani.

Lissu ndiye Rais wetu 2020.
Francis M. Garatwa
Tafakuri mujarab,tukiwa watu milioni moja wenye mawazo chanya kama haya,tukafanya juhudi zetu kufikisha ujumbe wa kumkataa jiwe na wafuasi wake kwa wapiga kura 20 kila mmoja tunamfungisha virago.
 
Upinzani hakuna wa kumshinda mgombea was CCM,hata kama angekuwa sio Magufuli kwa sababu zifuatazo:
...Upinzani ni waoga
...Upinzani ni wanafiki
...Upinzani hawana public figure
...Wapinzani hawana nguvu
...Wapinzani hawana mbinu
...Wanatumia nguvu nyingi
...Hawako smart kwenye siasa
...Hwajui kutumia akili zao.
...Ni wepesi kuyumbishwa.
Kwa sababu hiyo CCM itashinda,Wapinzani watapata Wabunge tuu,wataendelea kupiga kelele bungeni kwa miaka 5 kuisindikiza CCM,naumia kuandika hivi lakini ndo ukweli.

Ukweli siku zote unauma. Ila hata mimi kuna wakati naamini Ccm inashinda uchaguzi kwa sababu ya udhaifu wa vyama vya upinzani tulivyonavyo. Kuna ulazima wa vyama hivyo, hasa vile vyama makini kukaa pamoja na kuangalia namna sahihi na inayofaa, ya kutuondolea huyu mkoloni mweusi.
 
Upinzani hakuna wa kumshinda mgombea was CCM,hata kama angekuwa sio Magufuli kwa sababu zifuatazo:
...Upinzani ni waoga
...Upinzani ni wanafiki
...Upinzani hawana public figure
...Wapinzani hawana nguvu
...Wapinzani hawana mbinu
...Wanatumia nguvu nyingi
...Hawako smart kwenye siasa
...Hwajui kutumia akili zao.
...Ni wepesi kuyumbishwa.
Kwa sababu hiyo CCM itashinda,Wapinzani watapata Wabunge tuu,wataendelea kupiga kelele bungeni kwa miaka 5 kuisindikiza CCM,naumia kuandika hivi lakini ndo ukweli.
Simple ondoa police na weka level ground tuhakiki haya mambo yako!!
 
Mimi silipi kodi
Kwa hiyo wewe ni mnyonyaji?Hulipi kodi,haufanyi manunuzi?Hadi bando LA simu unayotumia unapewa na aliyekununulia?Alilipia 18% VAT na hiyo ni kodi halali kwa mujibu wa sheria,haulipi?Utakuwa mtu hatari mno.
 
Upinzani hakuna wa kumshinda mgombea was CCM,hata kama angekuwa sio Magufuli kwa sababu zifuatazo:
...Upinzani ni waoga
...Upinzani ni wanafiki
...Upinzani hawana public figure
...Wapinzani hawana nguvu
...Wapinzani hawana mbinu
...Wanatumia nguvu nyingi
...Hawako smart kwenye siasa
...Hwajui kutumia akili zao.
...Ni wepesi kuyumbishwa.
Kwa sababu hiyo CCM itashinda,Wapinzani watapata Wabunge tuu,wataendelea kupiga kelele bungeni kwa miaka 5 kuisindikiza CCM,naumia kuandika hivi lakini ndo ukweli.

Wapinzani hawana nguvu
Wapinzani wanatumia nguvu
 
Tafakuri mujarab,tukiwa watu milioni moja wenye mawazo chanya kama haya,tukafanya juhudi zetu kufikisha ujumbe wa kumkataa jiwe na wafuasi wake kwa wapiga kura 20 kila mmoja tunamfungisha virago.
Kule Marekani taarfa ya startv jana mama mmoja akasema, watu hawamtaki Trumph lakini wanamwogopa mgombea wa Democrat.
Kuna wasiwasi na hasira nyingi ndani ya nyoyo za wapiga kura. Kukiwa na usawa na uhuru wa kweli inaweza kushudiwa maajabu!
 
Back
Top Bottom