Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
714
1,137
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.

Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.

Sijui Zitto Kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua

Pia soma > Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Zitobu.jpg
 
Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajiri hiyo.
Sijui Zitto kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua
kwenye kugombea udiwani 2010, Bulembo alitoa nyodo kama hizi.

matokeo? alibamizwa vibaya sana na graduand wa madrasa. aliugua pressure mwaka mzima!

namshauri aachane na haya mambo, umri ushaenda sana sasa, na pressure ikimwibukia tena inaweza isiwe na huruma ya 10 years ago.
 
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.
Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajiri hiyo.
Sijui Zitto kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua
Bulembo ni chizi tu, kwn zitto kumzalisha binti yake ndo igeuke kuwa vita?? 2010 kwenye udiwani kata ya kijitonyama alishindwa na mgombea wa chadema, akaenda mahakamani lkn bado akapigwa vile vile, je atamuweza zitto ?? Aache kutapa tapa huyo mzee...kigoma ina wenyewe
 
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.
Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajiri hiyo.
Sijui Zitto kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua
Hala hala...Bulembo! kasome kisa cha Mfalme Midas, kinachoitwa "The Midas Touch", tunaojua chanzo cha chuki ya Bulembo kwa Zitto hatushangai, wasiwasi wangu ni badala ya Zitto kulia, asije kujikuta analia yeye!.

Japo najua kweli Bulembo yuko fit maana siku ile alipomhukumu kifo Zitto pale Bungeni, yeye mtoa hukumu anaendelea kudunda ila yule mshangiliaji hukumu ile kwa kupiga tu makofi amechomoka!.

Watu wengine sio wa kuchezea!

P
 
Ametoa sababu za msingi ni kwanini hataki Zitto arudi tena Bungeni? Au hataki tu arudi? Sometimes ukisikiliza hoja za baadhi ya wanaCCM ni vichekesho; hawana hoja na hata ukimuuliza kwanini hana cha kujibu zaidi ya "... anamkwamisha Mh. Rais ...". Kwao, mwongo, mnafiki, as long as anasifu na kuabudu huyo ndiye mbunge!
 
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.
Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajiri hiyo.
Sijui Zitto kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua
Ajiulize kwanza mwenzake aliyeshangilia sana alipototoa pendekezo la Zitto kuuwawa yuko wapi leo hii.
 
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.

Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.

Sijui Zitto Kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua

Pia soma > Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Yangekuwa maamuzi yangu, huyo Bulembo angetangulia mwenyewe TAKUKURU au gerezani.
Alafu mijitu ya namna hii ndo wanakumbatiwa na ccm ambayo inajinadi kufuata utawala wa kisheria. OVYO KABISA
 
Back
Top Bottom