Uchaguzi 2020 Wasomi kupenya ubunge CCM, vilaza kuachwa

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Katika uchunguzi uliofanyika hivi kari buni katika chama kinachoongozwa na Dkt. Magufuli imeonyesha wale wenye elimu za chini watatupiliwa mbali katika mchakato wa kuania ubunge kwa tiketi ya ccm Tanzania Bara.

Kauli ya Job Ndugai kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwajibu wapinzani kupitia mitandao huenda kikawa kigezo kikubwa

Eitha Ili Rais kuepuka kurudia kuwapa nafasi kwenye uwaziri waliotumbuliwa pia imezingatiwa.

Rais Magufuli katika kauli zake mara nyingi husema wasomi ndo watapewa kipaumbele na teuzi zake huangalia kigezo cha usomi kwanza

Kwa hiyo wale wafanyabiashara wanaoingia bungeni kwa kutumia .umaarufu wa biashara akina Msukuma,Kishimba na wengineo huenda wakapigwa chini kwenye mchujo.

Akina Kibajaji kupenya ubunge itakuwa kazi ngumu sana na wengi wenye elimu kama Kibajaji

Elimu shahada kwenda juu watapewa kipaumbele kwanza
 
Katika uchunguzi uliofanyika hivi kari buni katika chama kinachoongozwa na Dr Magufuli imeonyesha wale wenye elimu za chini watatupiliwa mbali katika mchakato wa kuania ubunge kwa tiketi ya ccm Tanzania Bara

Kauli ya Job Ndugai kuwa wabunge wengi wa ccm wanashindwa kuwajibu wapinzani kupitia mitandao huenda kikawa kigezo kikubwa

Eitha Ili Rais kuepuka kurudia kuwapa nafasi kwenye uwaziri waliotumbuliwa pia imezingatiwa

Kwa hiyo wale wafanyabiashara wanaoingia bungeni kwa kutumia umaarufu wa biashara akina Msukuma,Kishimba na wengineo huenda wakapigwa chini kwenye mchujo

Elimu Degree kwenda juu watapewa kipaumbele kwanza
Hivi Bashite na pole pole Wana elimu gani? Huyu incompetent wenu Magu hataki challenge,anataka akina Lugola wanaomwita yesu
 
Katika uchunguzi uliofanyika hivi kari buni katika chama kinachoongozwa na Dr Magufuli imeonyesha wale wenye elimu za chini watatupiliwa mbali katika mchakato wa kuania ubunge kwa tiketi ya ccm Tanzania Bara

Kauli ya Job Ndugai kuwa wabunge wengi wa ccm wanashindwa kuwajibu wapinzani kupitia mitandao huenda kikawa kigezo kikubwa

Eitha Ili Rais kuepuka kurudia kuwapa nafasi kwenye uwaziri waliotumbuliwa pia imezingatiwa

Rais Magufuli katika kauli zake mara nyingi husema wasomi ndo watapewa kipaumbele na teuzi zake huangalia kigezo cha usomi kwanza

Kwa hiyo wale wafanyabiashara wanaoingia bungeni kwa kutumia umaarufu wa biashara akina Msukuma,Kishimba na wengineo huenda wakapigwa chini kwenye mchujo

Akina Kibajaji kupenya ubunge itakuwa kazi ngumu sana na wengi wenye elimu kama Kibajaji

Elimu Degree kwenda juu watapewa kipaumbele kwanza
Wacha wararuane kwanza maana wengine wapo field wanagawa mahela sasa hivi katika magesti tu.
 
Wana umuhimu wake huwa ni wakata upepo sema wanaweza waacha kama 10 ili watumike kukata upepo
 
Katika uchunguzi uliofanyika hivi kari buni katika chama kinachoongozwa na Dkt. Magufuli imeonyesha wale wenye elimu za chini watatupiliwa mbali katika mchakato wa kuania ubunge kwa tiketi ya ccm Tanzania Bara.

Kauli ya Job Ndugai kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwajibu wapinzani kupitia mitandao huenda kikawa kigezo kikubwa

Eitha Ili Rais kuepuka kurudia kuwapa nafasi kwenye uwaziri waliotumbuliwa pia imezingatiwa.

Rais Magufuli katika kauli zake mara nyingi husema wasomi ndo watapewa kipaumbele na teuzi zake huangalia kigezo cha usomi kwanza

Kwa hiyo wale wafanyabiashara wanaoingia bungeni kwa kutumia .umaarufu wa biashara akina Msukuma,Kishimba na wengineo huenda wakapigwa chini kwenye mchujo.

Akina Kibajaji kupenya ubunge itakuwa kazi ngumu sana na wengi wenye elimu kama Kibajaji

Elimu shahada kwenda juu watapewa kipaumbele kwanza
Lakini wakipigwa chini ni kina nani wat kata mauno bungeni na kuongea ujinga? Kama kina Lusinde and the like? Japo najua Lusinde ni kwaheri maana nafasi iliyopo ni ya Kabudi..
 
Hawa wasio na elimu Wana umuhimu wao hasa Kwenye mambo ya TUNGULI kumbuka CCM na uchawi ni kitu kimoja

Hii naunga mkono.Ila wasomi wenye level ya PHD wasiwe wengi.sababu hao wanatakiwa wawe wanafanya research za kutatua matatizo ya nchi.

Ila akina msukuma, Sylvester Koka.Shabiby,Aboud na wengine wa aina yao kimsingi hawako kuwasaidia wanachi ni kuimarisha biashara zao zaidi kwa mgongo wa siasa.Pata wale wasomi ambao walikuwa ni watumishi wa umma hawana mibiashara mikubwa.maana hao wanakuwa na muda mwingi kwenye utumishi kwa wananchi.

hawa wafanyabisahara wanaangalia zaidu maslahi yao yote.Namkumbuka Koka alivyo kuwa anapata tenda za kuhudumia shughuli za chama na serikali kupitia kofia ya ubunge
 
Katika uchunguzi uliofanyika hivi kari buni katika chama kinachoongozwa na Dkt. Magufuli imeonyesha wale wenye elimu za chini watatupiliwa mbali katika mchakato wa kuania ubunge kwa tiketi ya ccm Tanzania Bara.

Kauli ya Job Ndugai kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwajibu wapinzani kupitia mitandao huenda kikawa kigezo kikubwa

Eitha Ili Rais kuepuka kurudia kuwapa nafasi kwenye uwaziri waliotumbuliwa pia imezingatiwa.

Rais Magufuli katika kauli zake mara nyingi husema wasomi ndo watapewa kipaumbele na teuzi zake huangalia kigezo cha usomi kwanza

Kwa hiyo wale wafanyabiashara wanaoingia bungeni kwa kutumia .umaarufu wa biashara akina Msukuma,Kishimba na wengineo huenda wakapigwa chini kwenye mchujo.

Akina Kibajaji kupenya ubunge itakuwa kazi ngumu sana na wengi wenye elimu kama Kibajaji

Elimu shahada kwenda juu watapewa kipaumbele kwanza
Nyie mfuatilieni mtu anaitwa MUSUKUMA ambaye ameishia darasa la 7 muone kama hatarejea October ndio mtajua jinsi ccm wanavyotumia ndumba.
 
Wasomi na wasio ends shule wanategemeana, vilaza wakupayuka lazima wawepo bungeni
 
Back
Top Bottom