Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ushuru wa Mabango ya Matangazo kwa sheria yetu yanalipiwa, kwa kila mita square ni zaidi ya 7,000… Kuna Mabango ya kampeini za Samia kwenye kila Halmashauri ya Nchi hii. Tunataka kujua fedha...
0 Reactions
3 Replies
165 Views
  • Featured
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekanusha vikali taarifa zinazosambaa kuwa serikali imeuza dhahabu inayohifadhiwa kama akiba ya taifa, akisisitiza kuwa mkakati uliopo ni kuongeza akiba hiyo na...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Nchi inaendeshwa na bajeti ya mikopo ,tutegemee siku moja mabeberu kuja kututawala tena . Watanzania ni lini wataambiwa takwinmu za deni na watasikia deni likishuka chini na siyo kila takwimu...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
" Je deni la Taifa ni himilivu kweli? Kuna vigezo viwili vya kuangalia. 1. Kwanza ni mtazamo wa mapato ya serikali yanayotumika kulipia Deni. Hapa tumelemewa kwani hadi Juni 2024, Tanzania...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Amewaambia Mwingereza alikimbia Nachingwea, nyinyi mnakwama wapi ??? Walilazimishwa kupanda karanga eti Ulaya wanahitaji mafuta ya karanga , wakaporwa ardhi zao, wakatandikwa kodi za mabanda...
1 Reactions
3 Replies
108 Views
Audhubillah min al shaitan nirajeem mkoloni na muuza watumwa Jamshid bin Abdulla. Nimesikia tetesi kuwa kuna watu wasioitakia mema nchi yetu wamekuruhusu urudi Zenj. Je unakuja kufanya nini...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Mwanasiasa mkongwe Anna Tibaijuka, akizungumza kupitia The Chanzo, amesema deni la taifa linaonyesha dalili za kutokuwa himilivu kulingana na takwimu za bajeti ya hivi karibuni, akisisitiza kuwa...
0 Reactions
18 Replies
476 Views
Kwa masikitiko makubwa, wananchi na wachimbaji wadogo wa Wilaya za Chunya na Songwe wameendelea kulalamikia hali mbaya ya utendaji ndani ya ofisi za Tume ya Madini, ambapo vitendo vya rushwa...
1 Reactions
4 Replies
166 Views
CCM imepoteza mvuto kabisa na sasa kimekuwa sio tena chama cha siasa. Ni kikundi cha watu wahuni. Ndio maana unaona wanavamia na kuiba mali za CHADEMA. Wanateka, wanaua na hata sasa eti wanajaribu...
15 Reactions
20 Replies
266 Views
Dr Saada Mkuya Salum, aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2012 kuwa Naibu Waziri wa Fedha katika serikali yake, na baadaye alipofariki Waziri wa Fedha William Mgimwa 2014, akachukua nafasi ya...
11 Reactions
38 Replies
765 Views
Ukichunguza vizuri kuna baadhi ya wafuasi ,wakeleketwa na machawa Promax wa chama fulani kilochongukia katika list ya terrorist organization ,nina kila sababu ya kusema hawakupaswa kuwa katika...
3 Reactions
7 Replies
176 Views
Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu...
7 Reactions
49 Replies
1K Views
Umekuwa ni kama muendelezo wa maneno yasiyofaa kutoka kwa viongozi wa uvccm kwenda kwa wapinzani. Ni kweli chama chochote like kilichopo madarakani kinahitaji kuendelea kubakia madarakani mile...
0 Reactions
7 Replies
166 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya mada ambazo sijazigusa kabisa kwenye mtandao huu na hata kwenye makala zangu nyingine ni suala la wizi wa kura. Watu wengi wana wasiwasi sana kuwa kuna uwezekeno...
0 Reactions
191 Replies
17K Views
Sheikh Said Mwaipopo ametangaza kiama kwa Wanaharakati na wote ambayo wanajinasibu kuandamana Julai 07 na kwamba watachoma shule, hospitali na miundombinu muhimu, watashughulikiwa na kikosi kazi...
10 Reactions
36 Replies
886 Views
Taifa la Tanganyika limejifunza mengi baada ya kifo cha Hayati Rais John Magufuli na kupelekwa utumwani, yaliyotokea oktoba 29 yamerudisha kumbukumbu za Watanganyika.
4 Reactions
8 Replies
165 Views
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya. Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika...
32 Reactions
298 Replies
23K Views
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda...
56 Reactions
754 Replies
45K Views
Angelikuwa Mungu ni mmoja, huyu asingeli ruhusu ya 29.10.2025 yatokee. Angelimuogopa Mungu aliyemfumbia mikono kwa unyenyekevu mkubwa!
2 Reactions
5 Replies
106 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…