Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kawe, Dar es Salaam Toka Gwajima atangaze nia yake ya kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi katika Jimbo la Kawe kumeibuka wimbi kubwa la vijana wa Chadema na upinzani kwa ujumla kupinga na...
6 Reactions
67 Replies
7K Views
Wapinzani kuweni makini na hii teua teua ya wakurugenzi wapya kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Ikumbukwe kuwa Wakurugenzi watendaji ndiyo wasimamizi wa uchaguzi kiufupi wao ndiyo watoa fomu na...
10 Reactions
38 Replies
5K Views
KIJANA huyu kwa Mara ya mwisho nilikuwa naye pale UDSM. Kipindi hicho wote tulikuwa wanafunzi. Mimi nikiwa engineering, yeye akiwa social sciences. Kipindi fulani alikuwa anafanyia uchambuzi...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
*KURA ZA MAONI CCM-RORYA: HUENDA UKAWA NI WA UKABILA/UTARAFA DHIDI YA RUSHWA* na Mwl. Chacha Matete Idara ya Elimu ya Ufundi - MUST Moja ya ahadi za mwana TANU ambazo mwana CCM anapaswa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Watia nia ubunge kigoma mjini mpaka sasa kupitia ACT-WAZALENDO ni Abdul Nondo, Baba Levo. Bado najiuliza Zitto Kabwe atahama jimbo tena au atagombea nao kura za maoni, au hatagombea mwaka huu?
15 Reactions
63 Replies
9K Views
1. Ajira - Hivi inawezekanaje taifa kubwa kiuchumi inashindwa kuajiri watoto wake angalau hata ajira mpya za kiutumishi walau hata 20000.noma sana maumivu yapo wanafunzi hawana tena mwamko wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. John Mnyika ametoa wito kwa kila mwanachama wa Chadema mwenye sifa za kuteuliwa kugombea...
12 Reactions
59 Replies
5K Views
Yaani Uchaguzi ukikarbia shamrashamra nyingi; mara fulani katia nia mara Membe Mara nguvu ya umma itaamua, yaani ni balaa huku na kule kila thread ukifungua ni siasa tu na buku 7 pia hawachoki...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Haja yangu ni kuliona jimbo la Arusha mjini likiwa Geneva ya kweli ya Afrika,kuigeuza na kuifanya Arusha kuwa makao makuu ya utalii Afrika ya mashariki na kati na kuweka mikakati na mipango na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hapo vip!! Kutokana na Arusha kupitia kwenye machafuko ya kisiasa kama maandamano,mauwaji na vurugu zisizokuwa na maslahi yeyote kwa mkoa wa Arusha na wananchi wa Arusha. Ni wazi kwasasa mkoa huu...
5 Reactions
71 Replies
6K Views
Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu. Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama...
9 Reactions
96 Replies
6K Views
Wakuu Wasalaam! Natumai mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu tukufu. Leo napenda kuwajulisha rasmi azma yangu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Same Magharibi kwa tiketi ya Chama Changu cha...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Lakini ukisema mimi ni mtumishi wa Bwana sitaiba kura! Tena, ni mchungaji sitawafitini kondoo. Na zaidi nina hofu ya Mungu sitaendekeza uroho wangu wa vyeo! Kwa hiyo nitakuwa mwaminifu mpaka...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
MAJIBU YANGU KWA MASWALI KUMI NILIYOULIZWA,BAADA YA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOROGORO MJINI. Leo 11:45am 05/07/2020 Rejea maswali haya na mwisho nitayatolea majibu,moja...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Mnajua jinsi awamu ya 5 "ilivyofanikiwa" kwa kutumia propaganda pekee. Leo hii Magufuli angekataliwa kugombea CCM sio ajabu angejiunga CHADEMA na kutimiza ndoto yake. Siasa ndivyo zilivyo, tuwe...
6 Reactions
90 Replies
6K Views
Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?" East Africa Radio My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau. Maendeleo hayana vyama!
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Tulikuonya mapema sana kwamba Shetani hajawahi kuwa na rafiki, ukatuona wajinga lakini taarifa za siri kutoka kwenye kikao cha CCM Zanzibar cha kuchuja wagombea wa urais wa Zanzibar, jina lako...
24 Reactions
56 Replies
6K Views
Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa. Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa...
4 Reactions
101 Replies
6K Views
Back
Top Bottom