Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya wananchi wa...
Kama kuna vitu vya ovyo ambavyo vimewahi kufanywa na mwenyekiti wa CCM katika utendaji wa CCM basi huenda ni uteuzi wa Stephen Wasira kuwa makamu mwenyekiti wa CCM na Amos Makalla kuwa katibu...
Serikali yetu sikivu ikiongozwa na Raisi Samia Suluhu ,Chukueni hatua za haraka mkishirikiana na Baraza la Maaskofu TEC, Wagonjwa tunaoumia , Madactari wameanza kuomba rushwa na kuongea lugha...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Tanzania imepiga hatua kubwa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwani kwenye Sheria ya Uchaguzi wa Rais...
Amani iwe kwenu wapendwa
Kadili siku na mda unavyozidi kusonga naona kama watu moshi wa no reform no election una Anza kuwaingia kichwani
Pascal Mayalla wasanue wenzio huko wambie kibanda...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni Kada wa CCM kwasasa, ameweka wazi msimamo wake wa kisiasa huku akiwataka wananchi kupuuza taarifa zozote...
Mjumbewa kamati kuu Chadema Godbless Lema kupitia Ukurasa wake wa X ame sahre kionjo cha wimbo wa No reforms no election ambao ameshirikia na Hellen pamoja na Happyness. Rasmi utatoka March 25...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amejitosa kuzungumzia sakata la barua ya malalamiko kuhusu uteuzi alioufanya wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa...
Hizi shule za serikali mnazosema elimu bure mbona mnatuchanganya sana,Kwa watoto wa darasa la saba kuna michango ya limu nzima,
Halafu kuna mchango wa kila wiki sh1000 kwa darasa la4 yani kwa...
Nimesikitishwa na Kauli ya Amosi Makala.
It is such a shame kuwa na viongozi wa aina hii. CCM ni chaama cha watu wenye intellectual ndogo snaa.
Shutuma za kutengeneza Biological Weapons ni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Viongozi wa Siasa, Serikali, dini na makundi maalum kwenye Iftar aliyowaandalia katika viwanja vya kufurahisha...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe amewezesha kitita kikubwa cha fedha ili kugharamia Kongamano la Wanawake la Kidunia lilioandaliwa na BAWACHA...
Umeme ni kikwazo kikubwa sana kwa Tanzania hasa linapokuja swala la viwanda hasa smelting ambazo kwa kiwango kikubwa sana zinatumia umeme mwingi mfano smelting ya aluminium inaweza ikatumia...
Katika kutetea Uamuzi wake wa Kuitaka Nchi ya Marekan ianze kuzalisha Umeme kupitia Makaa ya Mawe, alisema "Kwa Marekani kupuuza matumizi ya Makaa ya Mawe, kulipekea Uchina kutumia Fursa hiyo na...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila amenukuliwa akisema " Sasa mahitaji ya binadamu duniani ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali za dunia kuyafikia na...
Chama cha ACT Wazalendo kimemwandikia rasmi Msajili wa Vyama vya Siasa malalamiko dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amosi Makalla kutokana na matamshi yake ya madai kuwa...
Habari zinazosambaa mitandaoni zinatisha. Kama ni za kweli au la hilo tuliache kwa vyombo vyenye mamlaka.
Imefika mahali Watu wanashirikiana na watu wasiolitakia mema Tanzania kutia hofu, kuleta...
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema wale wabunge 19 wapo 2 wameandika barua za kuomba msamaha warudi, lakini pia wapo wengi wanamtafuta pembeni.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.