Mbunge Kilango Malecela alia na ukatili wa kijinsia kwa wanawake. Akumbushia alivyochomwa na pasi mgoni na "ex-husband" kisa kampiga chini

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,060
49,744
Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela amevitaka Serikali kutilia uzito mkubwa swala la Ukatili wa Kijinsia wanaofanyiwa wanawake kwenye nyanja mbalimbali kuanzia majumbani Hadi kwenye siasa.

Anna ametolea mfano wa jinsi alivyochomwa na Pasi ya moto mgongoni na mume wake ambae alimuacha na kwenda kumchafua kwenye mambo ya kampeni Ili aonekane hafai Kugombea,jambo ambalo lilipelekea kwenda kujibu mashambulizi Kwa kielezea kilichojiri.

My Take
Naunga mkono hoja,Ukiachwa achika tusilazimishane.

Serikali iwe inawachukulia hatua Kali watu wote wapuuzi hasa wanaume ambao Huwa wanalazimisha mapenzi au kupendwa hata baada ya kuachika.cc Dr.Mapenz &Co.
 
View: https://youtu.be/IYXCoAQ9EEk?si=8xcPRK8OBWCGRL6M

My Take
Naunga mkono hoja,Ukiachwa achika tusilazimishane.

Serikali iwe inawachukulia hatua Kali watu wote wapuuzi hasa wanaume ambao Huwa wanalazimisha mapenzi au kupendwa hata baada ya kuachika.cc Dr.Mapenz &Co.

Na nyie muishi kwa utii na Waume zenu 🐼
 
Siyo kwenye siasa pekee, hata huku makazini na kwenye taasisi za umma...Kuna ukatilii wa hali ya juu na inaonekana jamii haielewi maonevy haya yatasabaisha madhara makubwa ya ki psychology Kwa wanawake
Ndio maana nasema wakazie kote kote,hii inatokana na mfumo dume.

Wanaume tukubali kuachika na kama ni sheria za Mali zinaleta ugumu zipitiwe Upya.
 
Mambo ya maisha yake binafsi na mtu wake wa zamani, ya nini kuyaweka hadharani? a story has 2 sides kama wazungu wanasema, ipo siku huyo ex wake naye atasema yaliyo jificha. sielewi ni kwa nini akina mama wakiachika wanakuwa si bitter bila mpango na kuanza kuanika mambo ambayo yake privileged... ni so low kuanza kuanika mambo ya ndoa huku watoto wakiyasoma hadharani.
 
Umesikiliza video yake? Kwanza ameanza Kwa kuomba radhi Kwa mfano atakaoutoa na amekuwa clear kamba Ametoa huo mfano Kwa experience binafsi ya kupigilia msumari hoja yake.

So jikite kwenye hoja
 
Back
Top Bottom