Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni aibu kubwa kama chadema ikamsimamisha Membe agombee kutokana na matukio ya kina Lowasa na Sumaye waliyofanya. Nitakuwa mjinga wa ajabu napanga foleni kupigia kura chadema na mgombea ni...
15 Reactions
55 Replies
4K Views
CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?
3 Reactions
139 Replies
17K Views
Habar wadau Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya midahalo nimeweza kuangalia baadhi ya mikutano ya Mbowe na Tundu Lissu na kubaini ubora wa wote wawili kwenye majukwaa Kwanini nasema CHADEMA...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Katika siasa za nchi yetu sasa ina makundi matatu Kundi la kwanza ni la Watangazania,Wapinzania na Wagombania. Watangazania Wamejaa sana CCM hasa baada ya Mwenyekiti kusema kwamba ukikosa ubunge...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi, Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi...
30 Reactions
160 Replies
8K Views
Hii ndio habari mpya inayozunguka mitaa ya kwa Manyanya , kwamba mbunge wa zamani wa kinondoni Idd Azan anataka tena tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm , Jambo linaloleta mashaka kwa mamluki...
7 Reactions
57 Replies
6K Views
Wanajamvi, Naona kama kuna panic ya hali ya juu humu jamvini, ya members wengi maarufu humu mfano Troll JF johnthebaptist, wakidai kuwepo na kikao cha mwenyekiti wa CHADEMA na Membe kuhusu...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
WATIA NIA WENGI CCM WAMESHAKOSA SIFA ZA KUTEULIWA. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Twende na Kanuni ya 35 ya Kanuni za uchaguzi wa Ccm za 2017. Kwanza katika kanuni hizi ambazo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hii ni taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe, kwamba huko Rorya ndio kwao na sasa amedhamiria kuondoa ombwe la uongozi lililokuwepo.
9 Reactions
40 Replies
6K Views
Nina sitajabishwa na Mambo yanaoendelea CHADEMA pale mwenyekiti wa chama na baadhi ya wajumbe wenye CV nyepesi Kama mchungaji Peter Msigwa na wao kuchukua form ya urais ili kupata ridhaa ya...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Mtia nia nafasi ya Urais Dkt. Mayrose Kavura, akikabidhiwa fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA na Mkurugenzi wa Uchaguzi Chadema Munisi, Leo Jumanne 07/07/2020, Makao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii inawahusu wagombea wote, katika ngazi zote kutoka vyama vyote (Vya upinzani na CCM). Nawauliza hivi: Je, mmejipangaje na figusu figisu endapo zitajitokeza katika zoezi zima la uchukuaji...
0 Reactions
3 Replies
798 Views
Muziki ni kitu kinachotumika kuamsha hisia za wengi na kuandaa akili kwa ajili ya kupokea ujumbe fulani. Wakati mwingine kutokana na ushawishi wa muziki tu, mtu huamua kuchagua hata kifo badala ya...
0 Reactions
2 Replies
678 Views
Bernard Kamillius Membe waziri wa zamani wa Mambo ya nchi za Nje na uhusiano wa kimataifa, anazidi kukoleza mbio za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa 2020 ndani ya chama cha Mapinduzi CCM...
88 Reactions
427 Replies
48K Views
Wapinzani katika ujumla wao hawana mgombea yoyote wa urais mwenye sifa za kumzidi Benard Membe. Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 Membe alishika namba 5 kwenye kura za maoni CCM akimwacha mbali kabisa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Andrew Chenge MITANO tena au mna mpango wa kumtosa mzee GENIOUS. Binafsi naona mzee hana sababu ya kuukosa ubunge kwani ana vigezo vyote Elimu, Uzoefu na Mbinu za kutosha, Vijana mmekosa vitu...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu na asiyeweza kujifunza kutokana na makosa yaliyopita mathalan hawezi kujifunza lolote huko mbeleni. Misemo hii si ya kuipuuzia hasa katika mwenendo wetu wa siasa...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Watia nia na wote wanaotaka kutumia haki yao ya Kikatiba, kugombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA wataanza kuchukua fomu leo Julai 4, 2020, Ofisi za Makao Makuu ya Chama, Ufipa, Kinondoni, jijini...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom