Uchaguzi 2020 Maulid Mtulia akalia kuti kavu , Idd Azan arejea tena ulingoni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,381
KINONDONI BADO WANANIHITAJI, NITAGOMBEA- IDDI AZZAN.  _Ule uchaguzi wa mwaka 201 ( 426 X 640 ).jpg

Hii ndio habari mpya inayozunguka mitaa ya kwa Manyanya , kwamba mbunge wa zamani wa kinondoni Idd Azan anataka tena tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm , Jambo linaloleta mashaka kwa mamluki Maulid Mtulia
 
View attachment 1499230

Mtulia alisababisha watu wakavunjwa viungo mbali mbali wakati wakihakikisha anapata ushindi na baada ya kupata ushindi akawasaliti na kukubali kununuliwa kwa tamaa ya fedha.

Kilio cha wana UKAWA lazima kiendelee kumuadabisha huyo msaliti.
 
Huyu anakashifa ya mihadarati hafai ,labda aende chadema

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Sasa tukifuatilia hilo CCM ni nani atabaki? Maana hata Gwajima naye ana skendo ya madawa na ngono zembe. Hata mwenyekiti aliuza nyumba za serikali kwa mademu zake na kuvunja mikataba ya ujenzi iliyoitia nchi hasara. Mbaya zaidi alinunua kivuko kibovu mno. Ila yote tisa, CCM mwenye unafuu ni Samia na Majaliwa tu.
 
View attachment 1499230

Hii ndio habari mpya inayozunguka mitaa ya kwa Manyanya , kwamba mbunge wa zamani wa kinondoni Idd Azan anataka tena tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm , Jambo linaloleta mashaka kwa mamluki Maulid Mtulia
Mwenye Chama alisha sema, ng'ombe alie katwa mkia hutambulika mapema akiwa kwenye kundi. Sio Mtulia tuu atakae katwa. Wako wengi.
 
Jiwe atampitisha? wala asiseme hivyo. Mamlaka anayo mtu mmoja!

Mkuu Retired inakuwaje nakuona kama uliye kata tamaa kwamba kwamba basi bora liende tuu?
Jiwe nakuhakikishia hana muda huo tena wa kutengeneza timu maana yuko kwenye mashaka ya hali ya juu kwa nafasi yake.
Hali ni mbaya sana kuliko inavyodhaniwa, sio ndani ya ccm au nje yake. Kuna watu wanaona bora hata nchi iwe mikononi mwa mtu mwingine hata nje ya ccm ingawa wao wako ndani ya ccm. Na hilo hata jiwe analifahamu.
Kweli anaweza kutumia dola kulazimisha ushindi "wake" lakini ataondoka na majeraha makubwa kisiasa and he will not be the same "jiwe" again.
Kwa wanaotegemea kubebwa na huyo jiwe wakae chonjo.
 
Huu ni ukweli mtupu !
 
Hili linchi limejaa mazombie hasa huko ccm jiwe wala hana wasiwasi wowote zaidi ya wanaccm ambao wanawasiwasi wa hatma zao.

Kwa nguvu aliyonayo jiwe kwa sasa hakuna mwanaccm wa kuleta fyokofyoko huko kwanza wengi ni wezi hivyo wanatuhuma nyingi sana nyuma yao wakileta za kuleta wanapelekwa segerea kwa uhujumu uchumi.

Wengine anaweza kuwakatia mrija tu kwenye biashara zao wakaanza kupiga miayo tu kama makinda ya mbwa yaliyokosa nyonyo la mama yao.

Jiwe ana nguvu zisizoelezeka ndiyo maana anakiburi cha kuwatia cross na hawana cha kumfanya.

Chama la ccm limejaa majizi waoga sana ambao wamezoea kuonea wananchi wadogo lakini hayana guts za kumfanya chochote mwenyekiti wa chama.

Kimsingi ccm limejaa wanawake watupu mbele ya mwenyekiti wao.
 
Back
Top Bottom