Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
WARAKA [MWONGOZO]
UCHAGUZI MKUU WA TAIFA
OKTOBA 2020 TANZANIA
Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
UTANGULIZI
Ugonjwa wa Korona – COVID-19...
Henry Kilewo ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kichama Kinondoni pia ni Katibu wa Dar es salaam Kuu, Mjumbe Baraza kuu na Mkutano Mkuu Taifa.
Hapa akikabidhi fomu yake kwa Katibu wa Wilaya Mh...
Hakuna haja yoyote ya kumwelezea huyu mtu, anafahamika, kikubwa ni kutambulisha jimbo analolinyemelea , baaaasiiii
==
John Mrema ni Mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema
Wana JF,
Kuna Wazee wengi mfano wa Wassira bado wana uchu wa kuingia bungeni, Wazee kama Mkuchika piga chini wazee wote kwani ndio waliotudhooofisha kwenye kwenye maendeleo kwenye miaka...
Daniel Naftali alikuwa Mgombea Ubunge Jimbo la KWELA kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 Daniel Naftali.
Huyu kijana alinyang'anywa ubunge 2015 kwa mtutu wa bunduki. Kila mwananchi wa jimbo lake...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia ndugu yetu na Mtanzania mwenzetu Bernard Membe katika harakati zake za kuutafuta Urais wa JMT. Kwa sasa nimefanikiwa kung’amua sifa zake tano (5) ambazo...
Wasikate tamaa watengeneze sera thabiti na madhubuti bila kuingiza agenda nyingine zisizofaa kama kejeli ,matusi na chuki juu ya chama tawala katika mioyo ya wananchi . Wasipoweza kuchukua nchi...
Chama cha wananchi (CUF) Jimbo la Arumeru Magharibi, Mkoa wa Arusha kimempitisha kwa kishindo Bi. Arafa Muya kuwa Mgombea wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Arumeru Magharibi.
Akitangazwa rasmi...
Huyu kamanda ndiye alikuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, uko uzi humu JF ulioonyesha kwamba Bashiru Ally akishirikiana na Waziri wa fedha walishindwa kumshwawishi huyu kamanda kujiuza.
Sitaelezea kwa undani lakini pamoja na nguvu ya dola CCM wenyewe wanajua hali si shwari.
Zaidi sana kuna mambo ambayo hawajui yanafuta nyaso zao za mambo makubwa ambayo wameyafanya kwa wananchi...
Ni aibu karne ya leo kupokea baiskeli, chumvi, T-shirt kama kichocheo cha kutoa kura yako.
Tumesikia Wabunge kadhaa tena wa Chama chetu Tawala wakishikiliwa na Takukuru kisa ni kutoa rushwa.
Ni...
Ni wakati wa kizazi kipya sasa kushika hatamu za Uongozi hasa kupitia ngazi za Ubunge.
Marietha Bee ametia nia kuomba uteuzi viti maalumu CCM Mkoa wa Manyara.
Dhamira yake kubwa ni kutatua kero...
Joshua Lawrence kutoka mkoani Mbeya, amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais kupitia chama cha ACTwazalendo.
Kasema endapo atapewa ridhaa ya kuongoza nchi, atashughulikia mambo 2 ikiwemo kilimo...
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Reginald Massawe amesema mbunge wa zamani wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari alimtumia ujumbe mfupi akiuliza kama anaweza kuhakikishiwa nafasi ya kupewa nafasi...
Msafara wa aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum Catherine Ruge wa CHADEMA Mkoani Mara umezuiliwa kwa kupigwa Mabomu na Jeshi la Polisi Wilayani Serengeti kipindi akirejesha fomu ya Kuwania Ubunge...
Leonard Toja Manyama amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Bwana Manyama ni mwalimu na mtaalam wa mipango miji, kauli mbiu yake niamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.