Uchaguzi 2020 Ungependa kuvishauri nini Vyama vya Upinzani kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,723
10,008
Wasikate tamaa watengeneze sera thabiti na madhubuti bila kuingiza agenda nyingine zisizofaa kama kejeli ,matusi na chuki juu ya chama tawala katika mioyo ya wananchi . Wasipoweza kuchukua nchi sasa wataweza kuchukua baadae.

ukawa.jpg
 
Ikitokea dhulma wasilalamike, waandae majina ya wahusika waliohusika kuhujumu upinzani, waandae mpango kabambe wa kuwafundisha adabu, iwe Ni mchana ama usiku, ikibidi kuwatanguliza kuliwa na mchwa
 
Waupiganie ushindi wao kwa gharama yoyote ile. Ifikie wakati waseme enough is enough. Wasiwaogope policcm wala tumeccm.
 
Back
Top Bottom