Katika ziara ya Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Geita, imeeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inathamini kazi za Vijana wa Bodaboda kama chanzo cha...
Wakuu
Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza na kuligawa Jimbo la Mbeya Mjini kupata jimbo jipya la Uyole, katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2025.
Jimbo hilo kwa...
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD)...
Maswali yangu:
1. Kazi gani?
2. Utu gani?
3. Kusonga wapi?
4. Mbele wapi?
1. Ali Kibao
2. Soka et al
3. Ben saa nani
4. Kangoye
na wengineo.
5. Katiba mpya iko wapi
6. Tume huru iko wapi?
etc etc...
"Sisi majority abao ni vijana tunaweza tukakata huo mrija tukapata viongozi ambao ni real simu anapokea akikuta missed call yako anakupigia. Tunaacha viongozi wengi kwa sababu hawana fedha ...
Kwa kweli Mwalimu JK Nyerere alifanya mambo makubwa kwa taifa hili na bara la Afrika na duniani na pengine wengi wetu tumefikia mafanikio tuliyoyapata kielimu, kazi na hata afya kwa sababu ya sera...
Wakuu,
Hawa CWT si tawi la CCM? Imekuaje tena wanalalamikia chama chao kwenye majukwaa?
========================
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba...
Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga...
CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu.
Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni...
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Masaai amewashambulia wanaodhaniwa kuwa ni watia nia. Mbunge huyo amedai kuwa watu wastaafu hawapaswi kugombea ubunge. Akiongea katika mkutano na wananchi...
Kutokana na kuwepo kwa vikundi vingi vidogovidogo vya wajasiriamali vinavyozalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo za vyakula wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, vikundi hivyo vimeahidiwa kutafutiwa...
Kwa yanayoendelea nchini miaka mitatu ya serikali hii ya Chama hiki na mwenendo' na kauli za Vijana wa Chama hiki, kusema mnajali UTU ni uongo mchana kweupe. Watu waliopotezwa na kuuawa chini ya...
Najiuliza swali kubwa sana kwa aina ya baadhi ya waumini wa pande zote mbili wanavyochuliana kimoyo moyo na kuchekeana kinafiki mdomoni je ni sahihi kwa Kiongozi wa nchi kuchangisha Pesa ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania...
Matukio katika picha wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chama kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.
Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu...
Serikali ya CCM ni moja ya Serikali za Africa zinazo ishi kwa anasa kubwa sana, na katika vitu ambavyo Watawala wetu hawataki kusikiai ni kuishi ndani ya uwezo wa nchi.
Ruto kwa mwaka unao...
Utangulizi
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, masuala ya viti maalum vya ubunge na udiwani yanazungumziwa kwa nguvu, lakini kuna maswali mengi yanayoibuka kuhusu uhalisia wa sera hii...
Mama Samia amekuwa akisifiwa na kupambwa kila mahali hapa nchini.
Watu wanaomsifia mama, hawatekwi, hawapotezwi, wanapata nafasi za uoendeleo na teuzi kedekede.
Lakini kwa wakosoaji hali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.