Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Nikajifanyia tathmini mimi mwenywe kwamba hivi mimi Mbunge mchango wangu ni upi kwenye kuhakikisha kwamba mambo mengi yanafanyika na kwakweli nilimuambia Mke wangu nasoma hapa asisikitike maana...
0 Reactions
2 Replies
440 Views
Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) Waomba Mazingira Rafiki ya Kazi Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) wameiomba Serikali kuwawekea mazingira rafiki...
1 Reactions
1 Replies
764 Views
Ushauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyama vingine. Mwenyekiti Lissu alishauri kuwa uongozi katika Vyama viwe na ukomo. Alitoa mfano wa Ubunge wa Viti maalum kuwa wabunge...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu, Leo nilikuwa naangalia wasifu wa Mbunge wa Temeke, Dorothy Kilave na itoshe kusema kuwa Lissu alikuwa sahihi kabisa kuhusu hawa wabunge wa viti maalum. Huyu Dorothy Kilave yeye alikuwa ni...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kufuatia matukio ya mara kwa mara ya Wizi wa Mifugo katika Wilaya ya Rorya, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi Mkoani Mara, Mary Daniel amewataka Vijana wilayani Rorya kuacha...
0 Reactions
1 Replies
323 Views
Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoani Dodoma , Abdulhabib Mwanyemba amesema wanaokisaliti Chama cha Mapinduzi ni wanachama wake kwa sababu wanafanya makosa...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo...
0 Reactions
43 Replies
2K Views
Tanzania na Afrika Kusini kukuza wigo wa Ushirikiano Tanzania na Afrika Kusini zinatazamia kukuza wigo wa ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati kwa manufaa wananchi wa pande zote...
0 Reactions
1 Replies
402 Views
Mrisho Gambo mbunge wa Arusha mjini afunguka kuhusu milioni 300 za bodaboda alizotuhumiwa kukwapua awabwagia zigo waliotoa pesa kwenye akaunti benki Asema wao ndio wawajibishwe sio yeye na...
1 Reactions
6 Replies
860 Views
Katika ziara ya Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Geita, imeeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inathamini kazi za Vijana wa Bodaboda kama chanzo cha...
0 Reactions
8 Replies
614 Views
Wakuu Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza na kuligawa Jimbo la Mbeya Mjini kupata jimbo jipya la Uyole, katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2025. Jimbo hilo kwa...
0 Reactions
6 Replies
656 Views
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD)...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Bodi ya ligi yaangalia kuhairishwa kwa debi ya kariakoo
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Maswali yangu: 1. Kazi gani? 2. Utu gani? 3. Kusonga wapi? 4. Mbele wapi? 1. Ali Kibao 2. Soka et al 3. Ben saa nani 4. Kangoye na wengineo. 5. Katiba mpya iko wapi 6. Tume huru iko wapi? etc etc...
2 Reactions
12 Replies
778 Views
"Sisi majority abao ni vijana tunaweza tukakata huo mrija tukapata viongozi ambao ni real simu anapokea akikuta missed call yako anakupigia. Tunaacha viongozi wengi kwa sababu hawana fedha ...
2 Reactions
3 Replies
376 Views
Kwa kweli Mwalimu JK Nyerere alifanya mambo makubwa kwa taifa hili na bara la Afrika na duniani na pengine wengi wetu tumefikia mafanikio tuliyoyapata kielimu, kazi na hata afya kwa sababu ya sera...
4 Reactions
57 Replies
3K Views
Wakuu, Hawa CWT si tawi la CCM? Imekuaje tena wanalalamikia chama chao kwenye majukwaa? ======================== Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba...
0 Reactions
3 Replies
573 Views
Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu. Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni...
1 Reactions
0 Replies
449 Views
Back
Top Bottom