Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=It3WB1-ceDw&ab_channel=JAMBOTV Isihaka Mchinjita - Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ACT Bara "Kama tulikuwa tunasubiri kuona maneno ya Rais Samia ni ya kweli au...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimejaribu kutafakari kwa kina sakata la bodi ya ligi kuhairisha mechi ya Yanga dhidi ya Simba baada ya Simba kufanyiwa figisu za kuzuiwa kutumia uwanja wa taifa siku moja kabla ya mechi. Hivi...
2 Reactions
1 Replies
349 Views
Rais ametoa tamko rasmi kuwa serikali imesaini (itasaini?) mkataba wa kununua umeme kutoka Ethiopia ili kuondoa kama sio kupunguza kabisa tatizo la umeme kukatika katika ovyo katika mikoa ya...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Hii ni taarifa rasmi kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ikitangaza uteuzi wa viongozi mbalimbali uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Wakuu Hii ni kwamba Wananchi wamefanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, wananchi ni kama wamepewa maelekezo ni cha kusema. Hii ni sehemu ya ajenda ya kumpigia kampeni ya mitano...
0 Reactions
1 Replies
413 Views
Sijawahi kujivunia Utanzania Wangu Nakumbuka nyimbo za shule za kipindi kile tulizokuwa tukiimba kwa furaha na bashasha. Tukiwa tumevalia uzi mweupe na bukta za blue, tuliimba “Mungu ibariki...
28 Reactions
222 Replies
6K Views
Wakuu, Hivi CCM wanapojitambaga kwamba wana wanachama Milioni 10, hawa wanachama likija tukio kubwa la kitaifa, huwa wanaendaga wapi? Au hawa wanachama wote hawana simu na devices za...
4 Reactions
16 Replies
865 Views
Mkoani Ruvuma kuna kijiji kinaitwa mlilayoyo ambacho kipo wilaya ya Namtumbo kihuduma za kiserikali. Lakini cha ajabu kutoka hapo kijijini kuelekea Mamtumbo hqkuna gari ya kwenda halmashauri ya...
0 Reactions
4 Replies
337 Views
Nataka nitangaze kuwa naunga mkono msimamo wa Chama cha CHADEMA wa NO REFORMS NO ELECTION na pia nauunga mkono uongozi wa sasa wa CHADEMA wa Mwenyekiti Lissu na Makamu wake (bara) John Heche...
8 Reactions
71 Replies
4K Views
Uongozi wa Shule na Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wamemshukuru Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuwapa kiasi cha Shilingi...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Wakuu, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamepokea, kujadili na kupitisha pendekezo la kugawa Jimbo la Solwa, kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi ambayo ni Solwa na Itwangi...
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Wakuu Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey ameendelea kusisitiza kuwa Uchaguzi Mkuu uko pale pale Tunafanya uchaguzi miaka yote sio kwasababu ya TAMKO au MATAMKO...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko...
7 Reactions
63 Replies
2K Views
Iko hivyo na haitakuja kubadilika, Fuatilia Makongamano yote ya Mamluki yanayofanyika leo, halafu linganisha na Kongamano la Chadema linalofanyika Mlimani City, Utanishukuru.
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi wake ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt...
0 Reactions
2 Replies
453 Views
Leo, Jumatano Machi 12.2025 kesi za kupinga matokeo na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 2024, zilizofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo zinaanza...
0 Reactions
1 Replies
408 Views
Naona anayesaini taarifa zote za Kamati za Kamati kuu na Halmashauri Kuu ni Issa Haji Ussi (GAVU) Je, Yuko Wapi Amos Makalla Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa?
0 Reactions
6 Replies
760 Views
Ni vile tu Watanzania wengi ni wajinga na sio wasomaji sana wa vitabu na wafuatiliaji wa masuala ya nchi yao. Mlioshtuka leo kuhusu habari ya Tanzania kununua umeme nje kwa ajili ya matumizi ya...
26 Reactions
101 Replies
3K Views
Sina cha kusema Wauzaji wa dawa za kulevya watakupiga fitina kupitia kwa wanasiasa wenye ushawishi kwa Rais nawe utatupiliwa mbali Hao uliowaweka hadharani wapo kwenye mnyororo wa vigogo...
34 Reactions
69 Replies
10K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom