Wakati Serikali yetu ikiishi kwa anasa, Kenya wame punguza matukizi kwa Ksh 300Billion/Tsh trlion 5+.

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,507
Serikali ya CCM ni moja ya Serikali za Africa zinazo ishi kwa anasa kubwa sana, na katika vitu ambavyo Watawala wetu hawataki kusikiai ni kuishi ndani ya uwezo wa nchi.

Ruto kwa mwaka unao ishilia amesema waliamua kuchukua maamuzi magumu kupunguza matumizi ya Seriakli kwa Ksh Billion 400/ Hii alifanya ili kupunguza kukopa nje, kwa sababu some time wanakopa kuendesha Serikali.Hizi ni pesa mingi mno mno.

Bongo sio rahisi wapunguze matumizi ni kawaida kukuta msafara wa Waziri mkuu ukiwa na Magari zaidi ya 80 bado hapowa Makamo wa Rasi au Raisi mwenyewe, ni kawaida Watawala kuchomesha mafuta kutoka Dodoma hadi Dar, wao wako juu na V8 inafukuzia kwa chini. Kwa mwaka zinatumika Billion 500 na ziaidi kuagiza V8 pekee yake, maana yake kwa miaka 5 ni trilion 2 na billion 500 hizo ni za magari V8 bado mafuta na matengenezo yake sasa.

Kenya kwa sasa watawala wanahofia sana maandamano, wale raia sio wa kawaida ukiwaambia tutoke Barabarani kweli wanatoka, Tanzania watawala walisha soma raia wakajua ni mazezeta na hii wako sawa si walaumu kabisa na ndio maana wanatumia wanavyo taka na mwishi wa siku raia wanaongezewa Tozo ambazo Raisi hazimuhusu, Waziri mkuu hazimuhusu, Makamo wa Raisi hazimuhusu, mawaziri wote haziwahusu na kadhalika.

Ni Tanzania pekee kuna Ikulu 2 zenye hadhi sawa, elewa kwamba nchi nyingi Duniani zinaweza kuwa na ikulu ndogo ndogo ila ikulu kuu ni moja tu. Tanzania tuna ikulu ya Dodoma na Dar hizi ni ikulu 2 zenye hadhi sawa sawa kwa asilimia 100, only in Tanzania.Baadae tunaomba kujengewa matundu ya Vyoo na USAID.

Hapa sasa ndio unakuta V8 yanapishana Dodoma to Dar. Wiki hii wakuu wako Dodoma gari zinachomeshwa wese hadi Dodoma, wiki hii Dar gari zinachomeshwa mafuta hadi Dar.

Hizi cost za kuhudumia ikulu 2 zenye hadhi sawa mwisho wa siku tunazibeba sisi na ndio pale sasa unakuta huko vijijini wale ndugu zetu daily wanachangishwa michango ya kujenga Zahanati mara shule wakati kiuhalisia ni jukumu la Serikali make raia wanalipa kodi.

Binafisi nisha kataa kuchangia mchango wa iana yoyore kujenga Shule au Chochote kile ilihali Serikali ikiwa inaishi kwa anasa.

Ukiuliza leo utaambiwa Makandarasi hawajalipwa, kuna miradi imesimama pesa hakuna, ila hutakaa uone V8 zimepungua barabarani, Serikali haina pesa za maendeleo tu ila pesa za matumizi binafisi zipo za kutosha na si bure Bajeti huwa asilimia kubwa ni pesa za matumizi.
 
Hio hapo
Screenshot_20231231_212440.jpg
 
Wabongo watu wasioleweka alikuwepo mtu alionyesha njia sahihi ya kubana matumizi aliitwa kila jina baya sasa mmeletewa muunganisha na madili bata na makuku doha mnalialia!
 
Kiuhalisia serikali inatumia nusu ya bajeti kabisa kwenye matumizi yake ambayo hayana msingi wowote
 
Serikali ya CCM ni moja ya Serikali za Africa zinazo ishi kwa anasa kubwa sana, na katika vitu ambavyo Watawala wetu hawataki kusikiai ni kuishi ndani ya uwezo wa nchi.

Ruto kwa mwaka unao ishilia amesema waliamua kuchukua maamuzi magumu kupunguza matumizi ya Seriakli kwa Ksh Billion 400/ Hii alifanya ili kupunguza kukopa nje, kwa sababu some time wanakopa kuendesha Serikali.Hizi ni pesa mingi mno mno.

Bongo sio rahisi wapunguze matumizi ni kawaida kukuta msafara wa Waziri mkuu ukiwa na Magari zaidi ya 80 bado hapowa Makamo wa Rasi au Raisi mwenyewe, ni kawaida Watawala kuchomesha mafuta kutoka Dodoma hadi Dar, wao wako juu na V8 inafukuzia kwa chini. Kwa mwaka zinatumika Billion 500 na ziaidi kuagiza V8 pekee yake, maana yake kwa miaka 5 ni trilion 2 na billion 500 hizo ni za magari V8 bado mafuta na matengenezo yake sasa.

Kenya kwa sasa watawala wanahofia sana maandamano, wale raia sio wa kawaida ukiwaambia tutoke Barabarani kweli wanatoka, Tanzania watawala walisha soma raia wakajua ni mazezeta na hii wako sawa si walaumu kabisa na ndio maana wanatumia wanavyo taka na mwishi wa siku raia wanaongezewa Tozo ambazo Raisi hazimuhusu, Waziri mkuu hazimuhusu, Makamo wa Raisi hazimuhusu, mawaziri wote haziwahusu na kadhalika.

Ni Tanzania pekee kuna Ikulu 2 zenye hadhi sawa, elewa kwamba nchi nyingi Duniani zinaweza kuwa na ikulu ndogo ndogo ila ikulu kuu ni moja tu. Tanzania tuna ikulu ya Dodoma na Dar hizi ni ikulu 2 zenye hadhi sawa sawa kwa asilimia 100, only in Tanzania.Baadae tunaomba kujengewa matundu ya Vyoo na USAID.

Hapa sasa ndio unakuta V8 yanapishana Dodoma to Dar. Wiki hii wakuu wako Dodoma gari zinachomeshwa wese hadi Dodoma, wiki hii Dar gari zinachomeshwa mafuta hadi Dar.

Hizi cost za kuhudumia ikulu 2 zenye hadhi sawa mwisho wa siku tunazibeba sisi na ndio pale sasa unakuta huko vijijini wale ndugu zetu daily wanachangishwa michango ya kujenga Zahanati mara shule wakati kiuhalisia ni jukumu la Serikali make raia wanalipa kodi.

Binafisi nisha kataa kuchangia mchango wa iana yoyore kujenga Shule au Chochote kile ilihali Serikali ikiwa inaishi kwa anasa.

Ukiuliza leo utaambiwa Makandarasi hawajalipwa, kuna miradi imesimama pesa hakuna, ila hutakaa uone V8 zimepungua barabarani, Serikali haina pesa za maendeleo tu ila pesa za matumizi binafisi zipo za kutosha na si bure Bajeti huwa asilimia kubwa ni pesa za matumizi.
Unalalamika Ikulu mbili? Kenya wana Ikulu 27 zenye hadhi sawa, wao wanaita County, kila kabila na County yake, Rais wake akiitwa Governor. Kila County ina bunge lake na mahakama yake na Askofu wake na IGP wake. arap Ruto kupunguza gharama ni rahisi tu.
 
Governor wa county anachaguliwa, hapa kwenu Rais akilala akiamka anatengua na kuteua. Ndio hao wakuu wa mikoa, bado Kuna wakuu wa wilaya. Yaani ni vyeo cya kijinga vya kuchoma kodi za wananchi, ccm inatufanya mafala sana sisi wananchi. K_mamae zao.
 
Back
Top Bottom