"Aidha, kupitia utaratibu mpya wa utoaji wa mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri, ninazieelekeza taasisi za fedha na waratibu wa mikopo hiyo, kuondoa masharti magumu...
Juzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia...
Kufanya vizuri katika kuchangia Chama , sio kwamba anayetoa Pesa nyingi.
Kutoa Pesa nyingi ni jambo jema kwa kadiri ambavyo Mtu anabarikiwa !!.
Tuangalie ' Consistency' ya Mwanachama katika...
Yaliyozungumzwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, kuhusu tukio la Waziri na suala la uvuvi;
"Niliona klipu nyingine ya waziri anashindwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ameshangazwa na madai ya kuambiwa ana uchu wa madaraka
Heche amesema hayo Alhamisi Juni 25, 2026 wakati akizungumza...
She was calm,honest and had a forever loving attitude towards all the Cubs and kittens.
Genuinely intended to bring peace, prosperity and healing.
Unfortunately those persistent stubborn...
Waalimu wana malalamiko mengi sana. CCM imeiteka CWT ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5...
Mpaka sasahivi Baba Levo ndo MBUNGE Bora, anafatiwa na simai aliyemwambia Nchimbi ni msaliti🤣😂 kama ndo hivyo nauliza kwa Nini majeshi hamtaki watoto waliomaliza darasa la 7 wawe wabunge?
Baba...
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc...
Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli,
Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa...
Inawezekana vipi mabadiliko ya kisiasa Tanzania kutokea kabla ya muundo wa muungano kushugulikiwa?
Kwa tabaka tawala na state machinery suala la muungano ni kufa na kupona, kwao haiyumkiniki...
Makamu Mwenyekiti wa Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, John Heche, wakati akizungumza na umati wa wanannchi katika mkutano wa hadhara Mkoa wa Mbeya Juni 23, 2026, alieleza kuhusu kesi...
Wakuu,
Nadhani wengi wenu mmeona au kusikia taarifa za mkutano na waandishi wa habari uliofanywa na Sheikh Said Mwaipopo mnamo Juni 20, 2026, kuelekea maandamano yaliyopangwa ya tarehe 7 Julai...
Manispaa ya Temeke pamoja na mambo mengine inakusanya ushuru unaoitwa Service Levy kwa Wafanyabiasha karibu wote wenye leseni za biashara, Yaani Pamoja na kulipia leseni mjasiriamali anatakiwa pia...
Maadhimisho ya mwaka huu ni ya kihistoria kwani yanasherehekea Jubilei ya Dhahabu (Miaka 50) tangu kuanzishwa kwa maonyesho haya.
Kuna kitu kinajiinua hapa.. Kutokana na kuwepo tetesi/maandalizi...
Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge, amesema waendesha bodaboda walioshiriki katika kampeni za vyama vya siasa hawakufanya hivyo bure, bali walilipwa kwa huduma zao kama sehemu ya shughuli za...
Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili...
The United States Senate Foreign Relations Committee has officially advanced the bipartisan bill seeking to impose severe sanctions on government officials responsible for the deadly violence that...