Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqqaro amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi-CCM
Ndugu EMMANUEL KWAYU, mkurugenzi mkuu wa kampuni ya dolphin sea and air amejitosa kugombea ubunge jimbo la Hai kupitia chama cha mapinduzi. Jimbo hilo lilikuwa likishikiliwa na mwenyekiti wa...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr Mwinyi amesema wajumbe wa Zanzibar waliowapigia kura walikuwa 68 na siyo 35 kama inavyovumishwa.
Mwinyi amesema hata kama ni kweli wenzake...
Wakili Methusela Gwajima leo Iulai 15, amechukua fomu kuchuana na kaka yake Askofu Josephat Gwajima pamoja na watia nia wengine ambao wamechukua fomu kuwania Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha...
RC Makonda achukua fomu Kigamboni
Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi.
Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini
Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge.
Kwa kauli...
Aliyewahi kuwa Miss Dodoma miaka ya nyuma ambaye kwa sasa ni mwimbainjili nchini, Eva Evance Philipo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa CCM akiwakilisha wanawake mkoa wa Kagera...
Aliyekua Meya wa jiji la Arusha Gaudence lyimo amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Arusha huku akisisitiza Maendeleo ya haraka zaidi
Gaudence Lyimo amewahi kuwa Meya wa Arusha...
Baada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara.
Madaraka...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dokta Damas Ndumbaro amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na chama cha CCM kwa ajili ya kuwania ubunge wa Songea Mjini kwa...
Afisa Mwandamizi Usimamizi wa Fedha kutoka Management ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ndugu Geofrey Timoth leo asubuhi katika Ofisi za Chama Cha Mpinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni amechukua...
Hatimaye mkongwe Kangi Lugola amechukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mwibara kwa tiketi ya CCM.
=======
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amejitokeza mapema leo katika ofisi...
Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti...
Msando amewashukuru wote ambao wamempa moyo na kumtakia kheri, ''safari hii inapaswa kuwa ya pamoja”
Pia soma
- Je, Wakili Albert Msando anafaa ubunge wa Arusha Mjini?
- Celebrity Lawyer Albert...
Producer Mkongwe wa Muziki Joachim Marunda Kimaryo maarufu kama ‘Master Jay’ tayari amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo kupitia CCM
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo,Mfanyabiashara Maarufu jijini Arusha,Philemoni Mollel(Monaban),Meya mstaafu Kalist Lazaro na Mfanyabiashara wa Madini Thomas Munis Ni miongoni mwa...
Huyu ni mzaliwa kijiji cha Ihalula au Kisilo huko Njombe. Kada ndakindaki wa CCM. Ni wakili wa kujitegemea, mhadhiri sheria chuo kikuu Iringa.
Mwanateolojia na mwanafalsafa pia. Miaka ya nyuma...
Tumaini Limbe mkazi wa wilaya ya Sengerema ametumia baiskeli kwenda ofisi za CCM kuchukua fomu kuwania ubunge jimbo la Sengerema huku akieleza kuwa kipato kidogo ndio sababu ya kutumia usafiri huo
Kumekucha tena.
Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.