Uchaguzi 2020 Wakili msomi Dr. Adv. Fidelis C. Mligo achukua fomu Njombe mjini kupitia CCM

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
974
1,000
Huyu ni mzaliwa kijiji cha Ihalula au Kisilo huko Njombe. Kada ndakindaki wa CCM. Ni wakili wa kujitegemea, mhadhiri sheria chuo kikuu Iringa.

Mwanateolojia na mwanafalsafa pia. Miaka ya nyuma aliwahi kuwa padre(Dr. Slaa namba 2).

Vajameni mwaka huu tutaona mengi ambayo hayawahi kutokea.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom