Uchaguzi 2020 Makada 46 wa CCM wachukua fomu ya Ubunge Arusha Mjini

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo,Mfanyabiashara Maarufu jijini Arusha,Philemoni Mollel(Monaban),Meya mstaafu Kalist Lazaro na Mfanyabiashara wa Madini Thomas Munis Ni miongoni mwa Makada 46 wa ccm waliojitokeza leo kuchukua fomu kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini.

Idadi hiyo inatajwa huenda ikaongezeka katika siku za usoni hadi kufikia julai 17 ambayo ndiyo siku ya mwisho na kuvunja rekodi za wagombea wa kiti hicho katika miaka ya nyuma.

Katibu wa ccm wilaya ya Arusha, Denis Mwita ameeleza kuwa Idadi hiyo inaonyesha jinsi gani chama hicho kime kubalika kwa wananchi na wanatazamia Idadi hiyo huenda ikafikia watu 60 Idadi ambayo haikuwahi kutokea katika.kinyang'anyiro hicho

IMG-20200714-WA0030.jpg
IMG_20200714_152008.jpg
IMG_20200714_101707.jpg
IMG_20200714_100107.jpg
 
CCM wanapaswa kuzichanga karata zao vizuri hapo chuga otherwise Lema atautumia mwanya huo kupita tena
 
Back
Top Bottom