Uchaguzi 2020 Meya Mstaafu Arusha, Gaudence Lyimo achukua fomu ya Ubunge Arusha Mjini kupitia CCM

Waziri2025

Senior Member
Sep 2, 2019
148
379
Aliyekua Meya wa jiji la Arusha Gaudence lyimo amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Arusha huku akisisitiza Maendeleo ya haraka zaidi

Gaudence Lyimo amewahi kuwa Meya wa Arusha kwa kipindi cha miaka miwili mwaka 2010 mpaka 2015 na Naibu Meya kwa miaka miwili

Lyimo amesema endapo atachaguliwa na chama chake cha CCM atahakikisha kwamba jimbo la Arusha mjini miradi itakuwa mikubwa nakuleta heshma ya jeniva ya Africa kwani ndio kitovu cha utalii

IMG_20200715_122240_3.jpg
IMG_20200715_122251_0.jpg
 
Siyo meya msitafu,sema Meya wa zamani .lna maana hadi amefika umri huu,hajawahi kuwekeza kitu,hadi ameona abet tena.
 
Alipo kuwa Meya alifanya nini zaidi ya kujigawia tenda za manispaa zifanywe na kampuni yake? Ubinafsi uli lirudisha nyuma jiji la Arusha kipindi chake.
Twende na Lema
 
Back
Top Bottom