ASKOFU ATATIZWA SABABU ZA KUTEULIWA WAGOMBEA WA CCM NA KUENGULIWA KWA WAGOMBEA WA CHADEMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Ndugu Watanzania!
Tumeletewa malalamiko yafuatayo kuhusu uteuzi wa majina...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho, Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula ametoa wito kwa wale wanaomshikilia baada ya kumteka kijana Method Damian Kumdyanko na kuacha kuitisha familia na...
Ujenzi wa bomba la mafuta unaendelea la kutoka uganda mpaka Tanga, fursa kama hii muhim ni vizuri serikali ikavutia waekezaji kama watano waje wajenge oil refinery tano eneo ambalo bomba la mafuta...
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mh Nape Mosses Nnauye kasema ukweli usiopingika halafu huyu mama anakuja kumfuta kazi kinafiki wakati ukweli hata yeye mwenyewe Bi Tozo anaujua.
Pia soma > Uteuzi...
Vyombo vya kiusalama vikianza kufanya kazi kwa viapo vyao na sio kusaidia chama chochote hii nchi itabadilika. Malawi , Kenya, na Zambia vyombo vya usalama vilikataa kuiba kura ndiyo mabadiliko...
It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.
ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.
Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1
BY...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa ikiwa ni sehemu ya sadaka kwa waumini wa dini ya Kiislamu wanaoendelea na...
Kwa kweli nalilaani tetemeko la ardhi lililotokea Bukoba na kusababisha vifo vya baba, mama, bibi, anko, shangazi na wadogo zangu. Pia ninalaani vikali wale waliotumia rambi rambi zilizochangwa na...
Mfumo wa kisiasa nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa kutokana na ukweli kwamba Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye Rais wa nchi. Huu ni muundo unaoweza kuleta hatari...
Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme
Mwaka 2021 (Machi) Kilomita 6423.53
Mwaka 2025 (Februari) Kilomita 8141.38
Ongezeko la Kilomita 1717.85. Sawa na...
Inashangaza sana kwamba CCM wanapinga nini maana hata wenyewe hawajui wanapinga nini
1. Je mnapinga reforms ambayo ni mabadiliko ya mfumo wa sheria za kupiga kura
2. Je mnapinga uchaguzi kusubiri...
Wakuu,
Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.
Ina...
WANACHAMA CHADEMA MBEYA WATIMKIA CCM
MBEYA: Zaidi ya Wanachama wapya 50 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mbeya kutoka katika vyama vya upinzani wakitaja kuridhishwa na utekelezaji...
Baada ya miaka 11 ya kuibuka kwa kashfa ya Tegeta Escrow mwaka 2014 iliyoihusisha Shirika la Umeme (Tanesco) na Independent Power Ltd (IPTL), sakata hilo limeendelea kuibuka kila mara likija na...
Tumefika mahali wengine tumechanganyikwa na dhana ya No Reform No election, Mimi naomba wachambuzi wa mambo mnisaidie.
Ukiangalia ni kweli uchaguzi wa 2019, 2020 ulikuwa mbaya haijawahi kutokea...
Wakati tunachambua ripoti ya CAG, nilazima tujifunze mambo mapya kwa kurejea nyendo zetu za nyuma zilizozaa makosa yetu ya leo. Niliwahi kuhoji kipindi flani cha nyuma kuhusu aina ya...
Bila kupepesa macho huyu ni kirusi ndani ya CHADEMA kinachofanya jitahada za kukikwamisha chama kwa external force kutoka upande wakijani. Kwa nini CHADEMA wanamlealea au wanaogopa nini?
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali,
Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu...