Mkuu wa wiyala ya Ilala Edward Mpogolo amemshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuendelea kutoa pesa Halmashauri ya Ilala na kuweza kutekeleza Miradi mbali Mbali katika wilaya hiyo
Mpogolo amesema katika...
Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Dkt. Tulia Ackson...
Mbunge wa Handeni Mjini Reuben Kwagilwa Reuben ameshauri viongozi kutumia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwaresma kukutana na makundi mbalimbali ya wadau katika kufuturisha kuweza kujadili...
CHADEMA Central Committee and Esteemed Members of CHADEMA,
As you embark on your sacred mission to stop the 2025 general elections from happening without meaningful reforms, it is imperative...
Salamu tawapa mchana!
Watu wengi wannamini watumishi wanapaswa kujiongeza kwa kufanya shughuli zingine nje ya career yao au nje ya ofisi ndipo wataweza kuishi kwa ustawi. Mtumishi hakupaswa...
Kwanini Africa haiwezi kuendelea ni kwa sababu watu wenye akili na uwezo mkubwa kuona kesho hawapendwi na watawala... Why?
Watawala wanapenda chawa na chawa siku zote wanauma Tena wanauma sana na...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema maeneo yanayopata mvua za chini ya wastani hadi juu ya wastani yanatarajiwa kuwa na matukio ya hali mbaya ya hewa, kutokana na mabadiliko ya hali ya...
Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika.
Hawa wamachinga na...
CCM kuwa MBELE ya wakati kumewafanya CHADEMA kutapatapa na kuja na ajenda mfu ya "no reform no elections"...
Katika hotuba yake katibu mkuu John Mnyika alisoma azimio lako la kubadilisha tarehe...
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Iringa Mjini kimezindua mradi wa maduka 22 yenye jumla ya thamani ya Milioni 178 ambayo yatakayokwenda kutoa huduma mbalimbali Kwa Jamii pamoja na
Kuongeza Mapato ya...
Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa...
Aisee, Comrade! Unajua fashion ya kitaa ni identity yetu, right? Sasa, iMart Discounts Kariakoo wameleta kitu kitamuuu, hii kitu ni ! Jezi hii ya kipekee, yenye picha ya Rais wetu mpendwa Samia...
Leo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari
Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano...
Kama kuna kijana wa hovyo na asiye na fadhila hata kidogo aliyetoka Upinzani na anafanya kila juhudi kuumaliza Upinzani huo ambao ndio umemkuzà na kumlea na kumfanya awe alivyo leo ni huyu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wananchi mkoani Kagera kutumia rasilimali zilizopo mkoani humo, ikiwemo mifugo ya ng'ombe ili kujiinua...
Katika juhudi za kuimarisha usalama na kupambana na uhalifu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP) George Katabazi ameungana na wananchi wa Kata ya Ihumwa kwa kuchangia vifaa vya ujenzi wa kituo...
Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Msemaji wake, Limetoa taarifa kwa umma likiwasihi wananchi wake kuendelea kufanya shughuli zao kwa amani utulivu huku likiwahakikishia kwamba nchi ipo salama...
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Waalendo, Zitto kabwe ametoa maoni yake pia kuhusu kauli aliyoitoa katibu muenezi wa CCM Amos Makala Kuhusu Chadema kuwa wanataka kupandikiza Ebola nchini...
Kwenye usiku wa Huba Huru Ghala Taasisi mbali mbali na Wafanyabiashara wameshiriki katika harambee maalum ya kumchangia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, kuongeza bguvu katika uchaguzi mkuu ili aweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.