Viongozi wa CHADEMA waingia Zanzibar

Viongozi wa CHADEMA waingia Zanzibar

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,433
Reaction score
283,714
Baada ya kumaliza mazungumzo yenye Mafanikio Makubwa na Ubalozi wa Marekani, Viongozi wa Chadema mchana huu Wameingia Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Screenshot_2025-03-21-15-47-05-1.png

Mambo ni mengi sana ila muda ni mchache.

Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi.
======
Kazi imeanza Rasmi, Pichani Maalim Tundu Lissu akiwa kazini Zanzibar

Screenshot_2025-03-21-17-03-40-1.png
 
Baada ya kumaliza mazungumzo yenye Mafanikio Makubwa na Ubalozi wa Marekani, Viongozi wa Chadema mchana huu Wameingia Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

View attachment 3278770

Mambo ni mengi sana ila muda ni mchache.

Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi.
Nasema hivi , no reforms no election, mzee Wasira sikia hii na anza kuwaimbia vitukuu vyako ,kwamba mziki wa nchi ni no reforms no election, elo wako uwapige blabla
 
Back
Top Bottom