Je anachofanya Julius Mtatiro ni sahihi?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,916
Reaction score
6,526
Huyu ni mkuu wa wilaya huko Shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni.

Sasa kuna baadhi hawajawasili shule walizochaguliwa. Hivyo ameamua kuwasaka nyumba kwa nyumba. Kwa madai yake anasema mabinti hao wanatarajia kuolewa hivi karibuni badala ya kuendelea na elimu.

Je, maamuzi yake hayo ya kuwalazimisha mabinti hao kuacha kuolewa na kuendelea na shule ya upili yako sahihi?
 
Paid 90,000 TZS to 0746533312 CHAUMMA HQ. Charges Tsh 1,125.00 (Service charge Tsh 1,125.00 + Govt Levy Tsh 0.00).Balance 729,066.50 Tsh. TID:MP260723.1026.P22328
 
Huyu ni mkuu wa wilaya huko shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni. Sasa kuna baadhi hawajawasili shule walizochaguliwa. Hivyo ameamua kuwasaka nyumba kwa nyumba. Kwa madai yake anasema mabinti hao wanatarajia kuolewa hivi karibuni badala ya kuendelea na elimu. Je, maamuzi yake hayo ya kuwalazimisha mabinti hao kuacha kuolewa na kuendelea na shule ya upili yako sahihi?
Hizi zinzitwa danganya toto. Ni maigizo ambayo CCM wanapenda sana kuyatumia kwa sababu yanafanya kuvuta hisia za wajinga. Ni yale yale ya waziri nyumba kuzunguka mitaani kutatua matatizo ya viwanja. Au rais kwenda mitaani eti anatatua matatizoya wananchi. Kwa nini mifumo rasmi inayotakiwa kufanya hizi kazi haitumiwi?
 
angewekeza hiyo nguvu shule ya msingi, kuna watoto wengi hawawendi shuleni wakati elimu ya msingi ni lazima, angetafuta sababu wengi wanatoroka kwa sababu ya njaa, kupiga chakula shuleni kungetatua tatizo kwa 50% ...
 
Huyu ni mkuu wa wilaya huko Shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni.

Sasa kuna baadhi hawajawasili shule walizochaguliwa. Hivyo ameamua kuwasaka nyumba kwa nyumba. Kwa madai yake anasema mabinti hao wanatarajia kuolewa hivi karibuni badala ya kuendelea na elimu.

Je, maamuzi yake hayo ya kuwalazimisha mabinti hao kuacha kuolewa na kuendelea na shule ya upili yako sahihi?
Yumkini wale mabinti wamelazimishwa na baba zao kuolewa!
 
Huyu ni mkuu wa wilaya huko Shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni.

Sasa kuna baadhi hawajawasili shule walizochaguliwa. Hivyo ameamua kuwasaka nyumba kwa nyumba. Kwa madai yake anasema mabinti hao wanatarajia kuolewa hivi karibuni badala ya kuendelea na elimu.

Je, maamuzi yake hayo ya kuwalazimisha mabinti hao kuacha kuolewa na kuendelea na shule ya upili yako sahihi?
Wewe mama Mtatiro hebu acheni kujipigia Promo humu!

Hicho Cheo Cha mumeo hakiwatoshi?
 
Kuna mambo mengi sana ya kufanywa ya maana kuliko hayo ya kuwazuia wakati "MTOTO KAUTAKA"
 
Back
Top Bottom