WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.