Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/Hb63c_TjKB8?si=wqlP3wcHwx2apfo2 Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la...
0 Reactions
2 Replies
536 Views
Tumeshuhudia Abduli akiahidi kitita cha mchango wake kukarabati kanisa! Abduli mwanasiasa wa chini ya zulia amejijengea umaarufu wa kugawa vitita vya fedha hadharani huku wengi wetu hatujui...
1 Reactions
2 Replies
272 Views
Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo; 1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake...
1 Reactions
10 Replies
627 Views
Siasa ni kuwajibika Siasa ni sayansi Siasa sio biashara Siasa sio kusifiwa Kuna kukosolewa Hata kutukanwa pia Kama Yesu alisemwa mtume Mohammad alitukanwa wewe ni Nani usisemwe na...
1 Reactions
3 Replies
226 Views
== Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa hususan ujenzi wa hospitali na zahanati ambazo ni mkombozi mkubwa kwa wanawake. Wasira...
1 Reactions
5 Replies
355 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema madai yanayotolewa kwamba chama hicho kinaogopa uchaguzi hayana ukweli wowote na kusisitiza kwamba wanachotaka ni...
1 Reactions
3 Replies
612 Views
Imefika wakati kila mtu anajua tatizo lakini ni hao hao wana lalamikia utaratibu wetu cha ajabu ndiyo hao hao wanatakiwa kubadilisha utaratibu! Huwezi kulalamikia mifumo kila siku
2 Reactions
2 Replies
190 Views
Kwa mwezi huuu tu nimeona post za RC wa Tabora akiamuru mtu afukuzwe kazi ama aondokee kwenye Mkoa wake. Vyema ningependekeza tu hekima ifwate kuwaondoa hawa watu; 2. Sidhani tunahitaji kumwona...
1 Reactions
5 Replies
402 Views
Mwaka huu, 2025, bila shaka tutapiga kura kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Tayari wanasiasa wengi wakongwe na wanaoibuka wameshaanza harakati za kusaka...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Wizara aliyopewa Palamagamba ni ngumu sana kwake Kama sio njaa angekuwa anapigania No Reforms No Election. Alikuwa mjumbe wa Kamati ya Warioba huyu
18 Reactions
34 Replies
2K Views
Naomba kuuliza iwapo sheria ya kuwapa hadhi maalumu,watanzania waliochukua uraia nchi za nje.Nauliza maana baadhi ya ndugu zangu wali hukua uraia wa canada,uingereza na ujerumani,sasa wanataka...
1 Reactions
6 Replies
441 Views
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye sala ya Eid El Fitr kwenye msikiti wa Bakwata uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Rais Samia ni mpenda...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Habarini wakuu Suala la Chadema kuja na kauli mbiu ya No Reform No Election (NORENE) imetafrisiwa na wananchi wadadisi wa mambo kuwa Chadema wamekujanayo kutoka ng'ambo, mbaya zaidi wamesahau...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Wanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo...
0 Reactions
17 Replies
959 Views
.. Ukweli Ni Kwamba Deni La Taifa,ni deni la kinachoitw Tanzania,kwa Muktadha wa deni la Taifa la Tanzania, Ikumbukwe Zanzibar wana Deni lao kama Zanzibar mwaka jana lilikuwa Trillion moja tu...
3 Reactions
13 Replies
971 Views
Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani tembelea nchi zingine na wala usiende mbali, nenda tu hapo Zambia utajifunza yafuatayo 1. Bando la elfu moja Zambia ni Gb 1 na utatumia...
19 Reactions
71 Replies
3K Views
Wakuu, Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili:BearLaugh::KEKLaugh: Uvivu tu wa kuchambua na...
2 Reactions
63 Replies
3K Views
JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere...
1 Reactions
4 Replies
519 Views
Back
Top Bottom