Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka huu, 2025, bila shaka tutapiga kura kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Tayari wanasiasa wengi wakongwe na wanaoibuka wameshaanza harakati za kusaka...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Wizara aliyopewa Palamagamba ni ngumu sana kwake Kama sio njaa angekuwa anapigania No Reforms No Election. Alikuwa mjumbe wa Kamati ya Warioba huyu
18 Reactions
34 Replies
2K Views
Naomba kuuliza iwapo sheria ya kuwapa hadhi maalumu,watanzania waliochukua uraia nchi za nje.Nauliza maana baadhi ya ndugu zangu wali hukua uraia wa canada,uingereza na ujerumani,sasa wanataka...
1 Reactions
6 Replies
441 Views
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye sala ya Eid El Fitr kwenye msikiti wa Bakwata uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Rais Samia ni mpenda...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Habarini wakuu Suala la Chadema kuja na kauli mbiu ya No Reform No Election (NORENE) imetafrisiwa na wananchi wadadisi wa mambo kuwa Chadema wamekujanayo kutoka ng'ambo, mbaya zaidi wamesahau...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Wanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo...
0 Reactions
17 Replies
959 Views
.. Ukweli Ni Kwamba Deni La Taifa,ni deni la kinachoitw Tanzania,kwa Muktadha wa deni la Taifa la Tanzania, Ikumbukwe Zanzibar wana Deni lao kama Zanzibar mwaka jana lilikuwa Trillion moja tu...
3 Reactions
13 Replies
971 Views
Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani tembelea nchi zingine na wala usiende mbali, nenda tu hapo Zambia utajifunza yafuatayo 1. Bando la elfu moja Zambia ni Gb 1 na utatumia...
19 Reactions
71 Replies
3K Views
Wakuu, Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili:BearLaugh::KEKLaugh: Uvivu tu wa kuchambua na...
2 Reactions
63 Replies
3K Views
JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere...
1 Reactions
4 Replies
519 Views
Ni Wazi kabisa kwamba siasa za kisasa zinahitaji watu wa kisasa, namaanisha wale waliotoa tongotongo machoni mwao, kwa maana ya watu waliotembea na kuona mambo kwenye mataifa mengine kwa kiwango...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Akiwa jijini Mwanza,Hayati Rais Daktari John Pombe Joseph Magufuli alisema umeme usiotosheleza Tanzania nzima utakuwa historia,aliyasema hayo wakati akifungua kiwanda cha Victoria Moulders...
5 Reactions
13 Replies
914 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la...
4 Reactions
5 Replies
707 Views
Habari wadau wa JF. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa 26/4/1964 ulihusisha tukio nyeti ktk historia la kuchanganya udongo wa pande mbili. Mwl Nyerere na Karume ni watu moja wapo waliohusika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mtoto wa kiume sitomtaja jina akitokea Singida, anaandaliwa na baba yake kuwa Rais wa nchi hii kupitia CCM 2050. Ni mtoto wa mwisho ktk familia na ana miaka 6 hivi sasa. Wazo la kuwa Rais...
13 Reactions
251 Replies
33K Views
Ikiwa yamesalia masaa machache kuelekea sikukuu ya Eid Al- Fitri ikiashiria kutamatika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa...
1 Reactions
1 Replies
405 Views
Habari JF siasa. Nguli wa siasa nchini aliyefubaa kisiasa Mheshimiwa Edward Lowassa, alipoiona kasi ya Rais Magufuli kipindi hicho Rais akiibuka na mambo mbalimbali kama ufichuzi wa ufisadi...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu, Kwa wanaomfatilia Fred Vunja Bei alishawahi kusema kuwa ana "interest" za kugombea Ubunge, jimbo analotaka kugombea hakutaja na hata kwenye mkutano mkuu wa CCM pia alikuwepo Leo katoa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom