Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,335
- 139,109
Wizara aliyopewa Palamagamba ni ngumu sana kwake Kama sio njaa angekuwa anapigania No Reforms No Election. Alikuwa mjumbe wa Kamati ya Warioba huyu
nikupe namba?Hilo lishangazi hapo pembeni yake nimelielewa sana
Kijana wa hovyo kbs😄Hilo lishangazi hapo pembeni yake nimelielewa sana
Mangi hata ingekuwa wewe usingezuga na mic mbele ya hilo lishangazi?Njaa mbaya
Hilo lishangazi hapo pembeni yake nimelielewa sana
Jembe jembe sii mchezo!.View attachment 3288051
Wizara aliyopewa Palamagamba ni ngumu sana kwake Kama sio njaa angekuwa anapigania No Reforms No Election. Alikuwa mjumbe wa Kamati ya Warioba huyu
Nitashukuru sana🙏🏾nikupe namba?
Pamoja kuwa ni Profesa lakini ana vipaji vyake. Huyu ni Mkristo wa anglikana. Kuimba ni sehemu ya ibada wala hakuna uchawahapa. Tuache kujiona sisi ndo tunajua kila kitu kuwa nani afanye nini. Watu watashindwa kuonyesha vipaji vyao kisa maneno kama haya. Kwasababu wewe huna usitake wote wawe kama wewe. Huu ni wivu tuView attachment 3288051
Wizara aliyopewa Palamagamba ni ngumu sana kwake Kama sio njaa angekuwa anapigania No Reforms No Election. Alikuwa mjumbe wa Kamati ya Warioba huyu
Inasikitisha sana Palamagamba wa Tume ya Warioba leo ndiyo amejishusha kiasi hili, kweli uchawa ni laana.View attachment 3288051
Wizara aliyopewa Palamagamba ni ngumu sana kwake Kama sio njaa angekuwa anapigania No Reforms No Election. Alikuwa mjumbe wa Kamati ya Warioba huyu
Kwahiyo mtu asiimbe?Inasikitisha sana Palamagamba wa Tume ya Warioba leo ndiyo amejishusha kiasi hili, kweli uchawa ni laana.
NakupuuzaKwahiyo mtu asiimbe?
Nyie watu mmechanganyikiwa aisee!! 😂😂😂Nakupuuza
Wewe ndiye umechanganyikiwa baada ya ndoto yako ya kupewa ubunge wa viti maalum na basha wako Mbowe kuota mbawa, Cha ajabu Mbowe mwenyewe alishakubali matokeo lakini wewe bado unaendeleza mapambano.Nyie watu mmechanganyikiwa aisee!! 😂😂😂
Haha Leo Mbowe kawa basha wangu?? 😂😂😂😂 mna utoto sanaWewe ndiye umechanganyikiwa baada ya ndoto yako ya kupewa ubunge wa viti maalum na basha wako Mbowe kuota mbawa, Cha ajabu Mbowe mwenyewe alishakubali matokeo lakini wewe bado unaendeleza mapambano.