Baadhi ya Wadau waliohudhulia uzinduzi wa shina jipya la Luton wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti Tawi la UK, Maina Owino.
Watanzania wengi walifurika Jiji la Luton Uingereza na...
Nimesoma habari ya mbunge wa Rorya kulilalamikia jeshi la polisi Rorya eti linashirikiana na majambazi!. Hakuna asiyejua kuwa Lameck anachokipenda ni kuiweka mfukoni dola, hapo unakuwa rafiki...
Rais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo.
Maoni ya mdau...
Oyaaa oyaaa ni aibu kwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakuwa mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Soma...
Imefikia mahali ambapo viongozi wa upinzani, viongozi wa kidini, taasisi za kijamii za ndani na nje, ofisi za ubalozi, watu binafsi mmoja mmoja au kama vikundi, nk, wakatamka jambo lolote kama...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa...
Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo;
1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake...
Soma mwenyewe uone toka a/c yake huko X......
Umezoea kusema uongo sana na ndio imekuwa silaha yako mara zote kushambulia watu na kuwafanyia bullying ili wakae kimya .
Kwa taarifa yako siku za...
Katibu Mkuu mpya wa NCCR-Mageuzi, Evaline Munisi, amesema chama hicho kipo tayari kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa nafasi za Rais, wabunge na madiwani, huku kikidhamiria kukiondoa...
Ushahidi:
1. Pitia threads karibu zote hapa JF; hususani zile zitokazo kwa wanaojifanya kuichukia, utakuta wanaitaja ccm Kila baada ya maneno manne au matano.......huu ni u-CCM.
2. Mbio za...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, ameendelea kushambulia vikali kauli ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos...
Nimejikuta nacheka utafikiri nimecheka kwa mazuri,ukikuta unamsifia baba wa mwenzio kutunza familia yake vizuri na kusimama kwenye nafasi yake kama kiongozi wa familia, basi kwa vyovyote ni matusi...
Bakwata wakati wanatuizia Uoga, kule Kenya Waslama wamesema endapo mpango wa kuwaongezea mishahara Wabunge utatekelezwa basi wataingia Barabarani. kwa kifupi wamechoka kuona raia wakiwa masikini...
Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya...
Wananchi wa Kanda ya Kaskanini mwa Tanzania wanashangazwa na matukio yanayoendelea katika eneo hilo, hususan kuhusu ziara ya Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla.
Wanauliza...
Kwa mfano, leo nimemsikia Mkuu wa Mkoa wa Tabora akiahidi Tshs Milioni 60 kwa wachezaji wa Tabora kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga. Huu ni mfano mmoja tu miongoni mwa mingi ya namna hii.
Swali...
Nimekutana na hii clip mitandaoni na kuisikiliza na kama ni ya kweli basi ndiyo maana CCM huwa wanaiba mali za umma.
Kwenye Clip anaonekana Pereira Ame Silima akituhumiwa kuiba vitu toka kwa mke...
Wapi kwenye afadhali? Mbona kila mahali ni majanga?? Mwisho wa siku mwananchi ndio anabeba mzigo wote huu.
Halafu mazwazwa yako busy kusema tano tena. Shame.!
Credit: Maudhui ni Malisa G.J
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.