Ndugu zangu watanzania,
Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akieleza kuwa haiwezekani uchaguzi kuwa huru na wa haki chini ya mfumo wa sasa...
Website ya Ubalozi wetu Brazil Inavutia Sana. Karibu tujionee namna ambavyo Balozi zetu zinavyovutia wawekezaji.
Ambassador's Message | Tanzania Embassy in Brasilia, Brazil
Ubalozi wa Kenya...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa
Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa...
Habari Wananchi?
Hivi Hawa watu wanaohubiri kuitunza amani yetu hawaoni kwamba ni Serikali na ccm ndiyo wanaohatarisha Amani yetu kwa kung'ang'ania kukumbatia mifumo mibovu ya chagizi zetu...
Mufti inasikitisha kwa kuweka uchawa mbele. Anaongelea amani lakini kajisahaulisha kwenye chaguzi huru, haki , utekaji kama vile kila kitu ni sawa.
Sio kweli tatizo la Amani litapindishwa na...
Wakati maandalizi ya Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 yakipamba moto wake, hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan nayo imekazia amani na utulivu kipindi...
Chama cha NCCR – Mageuzi kimemtangaza mwanachama wake Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa huku Joseph Selasin akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa...
Allah Akbar !!.
Jambo Moja ninalowakubali WAISLAM ni Imani na Misimamo mikali.
Quran tukufu inakata Uonevu na Dhuluma Kwa namna yoyote.
Kama Mzee Kibao alikua Kiongozi Mkubwa wa CHADEMA, na...
Ndiyo shida kubwa ya Lisu, hajui kabisa kuzungumzia shida za wananchi masikini wa kijijini,
Huwezi kumsikia Lisu akizungumzia uchumi, ajira, barabara, maji yeye ni kuzungumzia mambo yanayomhusu...
Allah Akbar !!... Ule wakati Sasa unakaribia
Ni Mwanasiasa Nguri , Mwenye Misimamo Mkali na aliyeamua kua sehem ya historia ya Mabadiliko , Zitto Kabwe, akinukuu Maandiko Matakatifu Toka katika...
UMEME WA JUA KUONGEZA UNAFUU SHINYANGA
Mradi wa umeme wa jua unatekelezwa katika Wilaya ya Kishapu Mkoani wa Shinyanga unaendelea ambapo kwa awamu ya kwanza mradi unatarajiwa kuzalisha Megawati...
Ukitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa.
Kampeni ya No Reform No Election...
Yaani katika kitu ambacho huyu jamaa amezingua ni kusema kwamba akiingia madarakani anafungia betting.
Hivi hajui kama sisi vijana wengine betting ni ajira yetu iliyobadilisha maisha na kutupa...
Baada ya kuona CAG alichosema, Tanzania tunapaswa kubadili kabisa mfumo wa utawala wa taifa letu ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kuboresha uwezo wetu wa kufikiri 🧠, kuuliza na kutenda...
Uchumi wa bongo huwa unashangaza sana, kuna wakati watu walikuwa wanasema bwawa la umeme likikamilika na Waarabu wa DP World wakianza kuendesha bandari itasababisha gharama za uzalishaji na...
Sijui ni mafundisho ya dini au ni namna tu ya kujibwwteka nakerwa sana na huu utaratibu wa vijana wa umri mdogo wanaopita mitaani wanapiga vigoma na kuomba hela na ni bahati mbaya watoa hela nao...
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.