Hakuna nchi yeyote Duniani yenye Amani bila haki

Hakuna nchi yeyote Duniani yenye Amani bila haki

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,697
Reaction score
58,744
Siasa ni kuwajibika

Siasa ni sayansi

Siasa sio biashara

Siasa sio kusifiwa

Kuna kukosolewa

Hata kutukanwa pia

Kama Yesu alisemwa mtume Mohammad alitukanwa wewe ni Nani usisemwe na kukosolewa?

Kama hautaki kukosolewa, sikiliza umma tenda umma wanachokitaka!!

Wengi wape hiyo ndio democracy

Kukosolewa ni wajibu namba moja wa kiongozi wa umma Kama hautaki kukosolewa achia wengine!!

Yaani uishi kwa Kodi zetu halafu tukukenulie meno tu hata ukiharibu maisha yetu??

Nchi hii Ina watu million 62 Sasa ondoka acha wenzio waongoze
 
Unamwambia dikteta uchwara mwenye kumiliki vikosi vya kupiga watu kwa mgongo wa makamu mwenyekiti.. wakipinga agenda zake!
 
Siasa ni kuwajibika

Siasa ni sayansi

Siasa sio biashara

Siasa sio kusifiwa

Kuna kukosolewa

Hata kutukanwa pia

Kama Yesu alisemwa mtume Mohammad alitukanwa wewe ni Nani usisemwe na kukosolewa?

Kama hautaki kukosolewa, sikiliza umma tenda umma wanachokitaka!!

Wengi wape hiyo ndio democracy

Kukosolewa ni wajibu namba moja wa kiongozi wa umma Kama hautaki kukosolewa achia wengine!!

Yaani uishi kwa Kodi zetu halafu tukukenulie meno tu hata ukiharibu maisha yetu??

Nchi hii Ina watu million 62 Sasa ondoka acha wenzio waongoze
Maua yako Mkuu 🫡👉💐💐💐💐💐💐💐🌻
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom