https://youtu.be/xJtsdnZJKSk?si=4MdoQtu6CK7c2qtz
Dogo anasema tatizo ni uongozi wa nchi na rushwa. Badala ya machawa kuongelea haya na kurekebisha wanaongelea Lissu na Chadema kila siku...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Serikali zake hazitohofia wala kuacha kukopa kwenye Taasisi za Kimataifa za Fedha na Benki ya Dunia kwa minajili ya kutekeleza shughuli za miradi na ujenzi wa...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
Kwa sasa (Machi 2025), Mradi wa JNHPP unazalisha jumla ya Megawati 1880 ambazo zimeongezwa kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa. Baada ya mashine zote tisa...
Hali iliyojitokeza 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kupelekea kuwepo na malalamiko mengi sawa na yale ya2019/2020 ilisababishwa na nini?
Maana haya yametokea katikati ya maboresho...
HILI NDIO JUKUMU PEKEE WALILOJIPA GENERATION SAMIA
Mkurugenzi na Mratibu Taifa wa Taasisi ya Generation Samia, Omari Kimweri Kibanga, amesema kuwa jukumu kuu la taasisi hiyo ni kuyaunganisha...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinaingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, 2025 kikijivunia utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kimesema kuwa kazi kubwa ya utelekezaji wa Ilani ya...
Ukiangalia line progressive ya deni, ndani ya miaka 4 Samia ameweza kukopa fedha nyingi kuliko awamu zote. Over 50% as last update of march 2021
Viongozi wa CCM, machawa wa CCM. na Vijana...
Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali...
Ndugu Mufti Zubeir
Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako...
Tanzania Imeandika Historia Kwa Kuanza Kufanya Upasuaji Wa Ubongo Kwa Kutumia Akili Unde.
Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza rasmi upasuaji...
Kama wewe uko ndani ya CCM na unategemea kupata vyeo au kuwa mkubwa huko mbeleni eti kwa kuwasifia Viongozi wako na kuwatukana Viongozi wa upinzani,basi sahau,maana utakuwa kama Lucas Mwamshamba...
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025...
Niliwai kupitia ukurasa huu kuandika yakuwa inawezekana Tanzania tuna usalama wa taifa wanao hisi yakuwa viongozi tulio nao kupitia chama Cha mapinduzi ndio usalama wa taifa au ndo rasrimali ya...
Nawasalimu nyote hapa JF.
Niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu hasa inayowahusu baadhi ya viongozi wetu wa dini waliokaririwa na vyombo vya habari wakiwaonya waumini wao kuhusu ajenda...
Kwa vitendo vyake Je Raisi Samia ni mkweli au Muongo. Wengi wanalalamika kwamba anayesema anasema kisiasa kuanzia 4R ni uongo, chaguzi huru ni uongo, Ripoti za mauaji ni uongo. Je ni kitu gani...
1. Kukosa Uwazi na Uwajibikaji wa Viongozi: Wananchi wanaposhuhudia viongozi wa CHADEMA kutokuwa na uwazi katika utendaji wao au kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu mikakati yao, wanapoteza...
Walimu ni watu muhimu lakini umuhimu wao unazidi kupotea siku hadi siku. Kwani wamekuwa ni daraja la wanasiasa pindi wanapotafuta maslahi yao.
Ikumbukwe kwamba waalim ni watu muhimu katika...
Kumekuwa na msuguano mkali sana kati serikali iliyopo madarakani na Vyama vya Upinzani. Vyama vya Upinzani vimekuwa vikilalamika kuwa vimehujumiwa sana hasa kwenye chaguzi za mwaka 2019, 2020 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.