MJENGA
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 883
- 853
Nimesoma habari ya mbunge wa Rorya kulilalamikia jeshi la polisi Rorya eti linashirikiana na majambazi!. Hakuna asiyejua kuwa Lameck anachokipenda ni kuiweka mfukoni dola, hapo unakuwa rafiki yake. Pamoja na mwandishi wa Nipashe George Marato kukurupuka na kuandika habari alizolishwa na bwanaake Lameck, alipaswa kuuliza wanarorya na watu wanaoufahamu ukweli wa umafia wa Lameck. Lameck ni mafia na ni mfanyabiashara za magendo wa kutupwa.
Ana kikundi cha wauaji na wezi wa ng'ombe akiwamo Ajee Chuche ambaye amemmirikisha shortgun mbili. Ni Lameck huyo huyo anayedai polisi kushirikiana na majambazi, ndiye aliyezima kesi ya matumizi mabaya ya silaha ya Ajee kule Kowak. Lameck ni rafiki wa jambazi na mfanyabiashara wa dawa za kulevya Fredito Mopao ambaye ana baa Kowak. Ni Lameck huyohuyo alituma kikosi kilichovamia mgodi wa geita mwaka 2006-upo ushahidi. Ni Lameck huyohuyo alishiriki mauaji ya Abong wa Sudi. Ni Lameck huyo huyo anawaibia wajaluo wenzake mifugo kwa kushirikiana na wakenya. Ni Lameck huyo huyo anapitisha Sirari betri za evered toka kenya bila kulipa ushuru. Ni Lameck huyo huyo alimdhlumu msukuma mmoja aliyekuwa akifanya nae biashara mamilioni ya pesa.
Siyo siri askari aliyelengwa kwenye habari ya uk. 03 katika gazeti la Nipashe la tarehe 19.01.2013 ni Abdallah ambaye alihamishwa toka kituo cha Utegi Rorya kwenda Tarime. Kosa la Abdallah ni kutokubali kuwekwa mfukoni na Lameck kwa kuhongwa fedha ili aruhusu magendo yake kupita. Msimamo wa askari huyu ambaye kimsingi alipaswa kupongezwa, ndiyo umemponza na hata ameanza kubambikwa kesi za ujambazi!. Kweli fedha inatumika vyema kudhalilisha jeshi. Ninakushauri IGP kuwa swala la taarifa ya Lameck ichunguze kwanza, pata taarifa toka vyanzo mbalimbali utaupata ukweli. Askari wako Abdallah ni jasiri na unapaswa kumpongeza kwa uadilifu. Hizo hadithi za yeye kushirikiana na majambazi zipuuze. Lameck anajaribu kununua waandishi na kuwataka waandike kama atakavyo yeye.
Chunguza utaupata ukweli.