Kutokana na mapungufu ya kikatiba yaliyopelekea kuwa na tume ya uchaguzi isiyohuru kiutendaji, nimependekeza muundo wa tume unaoweza kutibu majeraha. Tunajua kwa sasa tume iliyopo @TumeUchaguziTZ...
Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi CP Charles Mkumbo, wakati akiwasilisha mada kwenye kikao kazi cha 20 cha maafisa habari wa Serikali kilichofanyika Zanzibar Aprili 3...
Serikali ya Tanzania imewaonya watu waliojipanga kuleta fujo, kujihusisha na rushwa ama kuleta sitofahamu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kuwa ipo macho na haitatoa mwanya wa kufanyika hila...
Huko Congo drc team Moja za ligi kuu ziliokuwa ziki itwa dcmp ime badilisha jina na kuitwa FC magufuli, kumbe jembe kakanya kazi ngumu sana, basi kapumzike kwa Amani sana
USSR
Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM Taifa
Jokate Mwegelo @jokatemwegelo ...
Kamanda wa Polisi, anasema kwamba dereva alitoroka ama kutoroshwa na kwamba polisi hawajui yuko wapi na wanamtafuta??? Nadhani kesho watasema "wamempata" akiwa hajachubuka hata 'nywele'.... Je...
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No...
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo Othman Masoud Othman, amesema Chama hicho hakitakubali aina yoyote ya hujuma zitakazosababisha kutangazwa kwa watu wasiochaguliwa kwa Kura za Wananchi kuwa...
Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020.
Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku...
Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga.
Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, ameeleza kuwa mchakato wa uandikishaji wapigakura wapya visiwani Zanzibar unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa kutokana na...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kuwa Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi Bilioni 13.17 kwa vyama vya siasa vyenye sifa ya kupata ruzuku hadi kufikia Machi 2025.
Hatua hii imeendelea kusaidia...
Nawaonea sana huruma CCM.
Hela wanazopoteza kuwahonga madalali wa kisiasa kina Mrema, Mchome, Wenje na wengineo wangezirudisha tu Tamisemi zikajenge mashule vijijini maana hazitafanikiwa kutimiza...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025, Jumla ya shilingi Bilioni 54.9 zimekusanywa kwenye huduma ya...
Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia.
Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na...
Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, amewasilisha maombi kortini akiomba uanachama wake ulindwe, ili afungue maombi ya kupinga mchakato wa kumteua Rais Samia Suluhu...
1)"Tuta Tawala Milele" Kumbuka Umilele ni wa Mungu pekee
2)"Tuta Tawala mpaka Yesu arudi" , Masihi wa BWANA anashirikishwa kwenye Siasa za ghiriba
3) "CCM kushinda sio lazima Mungu apende,"...
Kwa nafasi yangu nimefanya kazi kwa wakati tofauti na Mbowe na Zitto niseme tu hawa jamaa wanafanana sana kwenye siasa za kulinda maslahi yao binafsi. Wakati wa jakaya, ZZK ametumika sana kufanya...
Shaha Nurdin Mussa, mkazi wa Kitongoji cha Mkuti B, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, ameeleza kwa msisitizo kuwa wananchi wa Masasi wameshikilia msimamo thabiti wa kushiriki kikamilifu katika...