Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi kweli hii ni haki kwa Jeshi la Magereza kutendewa hivi na Serikali yao! Kazi ya serikali imebaki kujigamba kwa kununua mabomu ya machozi kupambana na vyama vya upinzani ili iendelee kutumia...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama. Makala kwa...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Ni miaka mitatu ya hasara kwa mashirika makubwa ya umma, ndivyo unavyoweza kueleza. Hasara hizo zimetajwa katika ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka 2021/22...
2 Reactions
0 Replies
595 Views
Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewapatanisha viongozi wa Kijamii wa Kimasai, Ole Paserian na Ole Kisongo, na...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasha Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amaema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Rais Samia amedanganya kwenye baraza la Eid kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi Amesema “Rais Samia hajasema ukweli kwenye...
14 Reactions
63 Replies
3K Views
Raisi Samia hana majibu hata moja ya matatizo na alicho bakia nacho ni kutuuuzia Uoga, kututishia Police wake na kadhalika. Hana majibu ni kwa nini Shiling ya Tanzania inaongoza kwa kushuka...
21 Reactions
61 Replies
3K Views
Ukitazama hali halisi ilivyo sasa ni wazi kabisa matajiri, watu wenye uchumi mzuri, biashara kubwa, na watu wa serikali ndo wanaridhika na mwenendo wa serikali kwa sasa. Sasahivi wanasukuma magari...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Wakuu, Nikadhani zoezi la wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura lilikuwa limeshaisha. Naona leo RC kajitokeza kuja kuisemea tume! Akiwa anazungmza hivi karibun Mkuu wa...
2 Reactions
9 Replies
568 Views
Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu...
1 Reactions
4 Replies
462 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Waziri. Mhe. Deogratius J. Ndejembi ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo...
0 Reactions
2 Replies
389 Views
Habari zenu. Hivi karibuni nilikwenda mkoa wa Ruvuma na nikapita karibu na makazi ya mkuu wa mkoa nikashangaa sana namna pesa zetu za Kodi zinavyofanya viongozi wetu waishi kifahari. Kama Kuna...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu, Naona trip za kuwatembelea wagonjwa zimekuwa nyingi zimekuwa nyingi kipindi hiki. Kuna nini kwani? Au ndo maandalizi ya Uchaguzi ? Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
0 Reactions
1 Replies
307 Views
Kwa vipigo vinavyoendelea miongoni mwa viongozi waandamizi wa chadema ngazi mbalimbali nchini, hususani wanawake, kuna kila dalili za magenge ya kihalifu kuhifadhiwa ndani ya chadema na...
0 Reactions
100 Replies
3K Views
Kiukweli tumekubwikwa na viongozi wa aina moja nkiwa na maana ya kwamba hutambua majukumu yao mpaka Wananchi wakionyesha kuriakti... Mfano wimbi la ufungaji barabara linaenda kasi sana na...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Bashungwa Ana mfumo wake wa kizamani Sana . Anazunguka vijjini na kuwapiga picha watu waliochoka na kukata tamaa ya maisha na kuwarusha mitandaoni Kwanza unafany kosa kubwa Sana na kudhlilisha...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
Mbunge mstaafu, Abdallah Bulembo ambaye ni mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jamii) ameahidi kutoa milioni 3 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo...
3 Reactions
8 Replies
609 Views
Ndugu zangu Watanzania, Tukio la Kupigwa ,kuumizwa ,kujeruhiwa na kuteswa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa limewaacha watu na maswali Mengi sana vichwani Mwao. Watu wanajiuliza ikiwa Kiongozi...
3 Reactions
81 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana...
1 Reactions
1 Replies
365 Views
Back
Top Bottom