Nadhani ni muda muafaka wa kusambaza kwa nguvu zote ujumbe uliopo kwenye AZIMIO LA ARUSHA.
Hii document imezikwa ili Watanzania waendelee kutawaliwa na walafi wachache.
Nakushauri ukiwa unasoma...
Nyerere alijua hili lakini alikua mbishi au alizuga. Na huyu moyoni anajua kuwa kanda ya ziwa is a natural ally wa kanda ya kaskazini. Sema issue ni political power, vyama vya kisiasa, ambition...
Going back to the basics;
Unemployment is a problem that needs to be addressed strategically both at individual level as well as National level.It is one thing to be productive and another to be...
Mimi simfahamu January.
January ana reflect dilemma ya watu wa Tanga na udhaifu wao kwenye siasa za CCM Tanzania.
Makabila ya pwani yenye nguvu ndani ya CCM ni watu wa mkoa wa Dar, mkoa wa...
Wakuu,
Zile mia mia na hela za michango ya mitihani na nyingine ambazo hazina maelezo yanayoeleweka toka kwa mkuu wa wilaya au mkurugenzi mjue ni usumbufu kwa wazazi.
Hapo mzazi akigoma kulipa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa...
Huyo anaeitwa adui baada ya kusitisha misaada bajeti imeyumba, ina maada rafiki yetu wa dhati Mchina alikuwa anachangia matone ? 😓😓
Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha...
Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious.
Trump...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akijibu swali la Mbunge wa viti Maalumu, Anatropia Lwehikila Theonest amezungumzia kauli ya RC Chalamila akisema:
"Suala alilozungumzia ni nyeti mno, suala...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves...
Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo ndani ya mwezi mmoja kufanya ukarabati wa vibanda vya wafanyabiashara wa stendi ya mabasi...
Matukio mbalimbali ya kuwasili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe, Harare nchini Zimbabwe kwa ajili ya...
Retired mwangalieni humu JF huyu dogo Malaria 2 naye ana maumivu makubwa sana. Haaamini macho yake. Ukimsoma unamwona amekonda na kunyorodoka. Sura imejikunja ana wivu,chuki ,hasira na...
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa.
Dkt. Slaa...
Hashim Rungwe Spunda, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa kuhusu Jeshi la kujenga Taifa (JKT) kupata chakula na huku akiona hakuna umuhimu wakuwa na Jeshi hilo na akipendekeza...
1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe
2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, ameonya vikali baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Ushetu waliogeuka kuwa mawakala wa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge, akisema...
Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume...
sijui ni kwanini Legacy yake haizumgumziwi kabisa,
shule za kata ni moja ya kitu muhimu zaidi alichoifanyia Tanzania, na hakitasahaulika...
Mwana demokrasia na mwana diplomasia ambae hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.