CHADEMA mnawalea sana wanachama wenu wanaokengeuka, igeni CCM

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,212
Reaction score
4,676
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama.

Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada wa chadema kuibua attention hovu dhidi ya Heche na Lissu katika mikutano yao ya no reforms no election.

Mimi nawashauri tena, igeni ccm fukuzeni wote wanaotaka kukwamisha chama, anza na hawa kabisa,

Yericko Nyerere
John Mrema
Mchome

Hawa watu hawana impact yeyote kwenye siasa za Tanzania.

Soma: Pre GE2025 - John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche
 
Attachments

  • 20250331_142042.jpg
    20250331_142042.jpg
    112.2 KB · Views: 29
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama.

Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada wa chadema kuibua attention hovu dhidi ya Heche na Lissu katika mikutano yao ya no reforms no election.

Mimi nawashauri tena, igeni ccm fukuzeni wote wanaotaka kukwamisha chama, anza na hawa kabisa,

Yericko Nyerere
John Mrema
Mchome

Hawa watu hawana impact yeyote kwenye siasa za Tanzania.

Soma: Pre GE2025 - John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche
Naunga mkono hoja kwa 100 %. bila kumsahau huyo chapombe anayeigiza kupigwa, fyekelea mbali.
 
Mwanachama atafukuzwa kwa kufuata demokrasia na haki ya msingi au ya asili kuchunguza suala lake na kumhoji kwa mujibu wa kisheria.
 
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama.

Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada wa chadema kuibua attention hovu dhidi ya Heche na Lissu katika mikutano yao ya no reforms no election.

Mimi nawashauri tena, igeni ccm fukuzeni wote wanaotaka kukwamisha chama, anza na hawa kabisa,

Yericko Nyerere
John Mrema
Mchome

Hawa watu hawana impact yeyote kwenye siasa za Tanzania.

Soma: Pre GE2025 - John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche
Chadomo kimegeuka chama cha kidikteta hata nchi hawajapewa. Wakipewa nchi itakuaje. Wakosoaji wote wanaitwa mamluki, wamehongwa n.k.
Msajili akitazame kwa jicho la tatu hiki chama kimegeuka kikundi katili cha mungiki. Mtu kalazwa hospital zaidi ya wiki, kapigwa hadharani lakini hata pole hamna. Wanahubiri demokrasia huku wameficha mapanga.
 
Lakini kumbuka CHADEMA ni Chama cha kidemokrasia kila mwanchama ana uhuru wa kutoa maoni yake tifauti na hilo Genge la wezi na Wauaji (CCM).

CHADEMA tubakie kwenye misingi yetu ya HAKI UKWELI UWAZI DEMOKRASIA na MAENDELEO.

Kamanda Mrema ana HOJA zijibiwe.
 
Chadomo kimegeuka chama cha kidikteta hata nchi hawajapewa. Wakipewa nchi itakuaje. Wakosoaji wote wanaitwa mamluki, wamehongwa n.k.
Msajili akitazame kwa jicho la tatu hiki chama kimegeuka kikundi katili cha mungiki. Mtu kalazwa hospital zaidi ya wiki, kapigwa hadharani lakini hata pole hamna. Wanahubiri demokrasia huku wameficha mapanga.
Huko hospitali kumejaa wagonjwa wasio na uwezo wa gharama za matibabu. Kwanini ccm haitoi msaada kwa hao na kupiga nao picha bali huyo tu? Bado mnatumia mbinu za kizee hivyo miaka hii? Huyo dada hata ndugu zake hawaonekani, lakini viongozi wa ccm kila siku wako na macamera kupiga naye picha kujifanya wana wema wakati hawana. Msajili awaulize ccm wana maslahi gani na huyo dada?
 
Msemaji wa sasa wa CHADEMA ni Nani? Ninapata mashaka kama yupo competent.
Anajificha ficha sana,
Ile nafasi ilimfaa mtu anaitwa Gervas alikuwa sehemu ya timu ya ushindi ya Lissu.
 
Huko hospitali kumejaa wagonjwa wasio na uwezo wa gharama za matibabu. Kwanini ccm haitoi msaada kwa hao na kupiga nao picha bali huyo tu? Bado mnatumia mbinu za kizee hivyo miaka hii? Huyo dada hata ndugu zake hawaonekani, lakini viongozi wa ccm kila siku wako na macamera kupiga naye picha kujifanya wana wema wakati hawana. Msajili awaulize ccm wana maslahi gani na huyo dada?
Hilo ndio tatizo lenu nyie chadomo. Wewe uko hospital mpaka ujue ndugu zake hawapo? Tulionya kipindi mnawatukana viongozi wenu kuwa dhambi hii itawarudia. Yoyote mwenye mawazo mbadala anatumika. Mnataka wanachama wenu wote wageuke manyumbu. MH. Samia na Mh. Mwinyi alipoenda kumuona Lissu Nairobi, Lissu alikua anatumika na CCM?
 
Mbona hatuoni picha za ndugu zake wakiwa naye hospitalini? Samia hakwenda rasmi kumsalimia Lisu, bali alikuwa na safari yake, nadhani wenyeji wake wakamwambia kuhusu Lisu, kwa aibu akaone apitie tu. Mwinye alikuwa na madaraka gani huko ccm kwa umri wake. Hakwenda kwama mwanaccm, bali kama yeye.
 
Reasoning ya ajabu kabisa, mnaonesha ninyi ni watu makatili kabisa msiokua na appreciation.
 
Nasema hivi, kakae na mgonjwa hospitalini, muda wa kuonyesha wema wa maigizo umepita.
 
Kwa mentality ya kikatili namna hii hamuwezi kupata hata madiwani watano oktoba.
Kwani kuna uchaguzi wa kweli hadi useme tutapata madiwani? Hizo chaguzi za kupangwa na dola nazo ni chaguzi za kuongea mbele ya wanaume?
 
Wanajidanganya eti wakishiriki uchaguzi ccm itawaachia majimbo kadhaa ,kitu ambacho akiwezekani kabisa.

Kwenye kampeni Mbowe alisema kabisa eti wasipomchagua hawatapata hata mbuge 1, huku akisema no reforms no election.

Chadema wanatakiwa kusimamia msimamo wao.
 
Kwani kuna uchaguzi wa kweli hadi useme tutapata madiwani? Hizo chaguzi za kupangwa na dola nazo ni chaguzi za kuongea mbele ya wanaume?
Kwa wagombea waropokaji hata jiwe watu watachagua jiwe.
 
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama.

Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada wa chadema kuibua attention hovu dhidi ya Heche na Lissu katika mikutano yao ya no reforms no election.

Mimi nawashauri tena, igeni ccm fukuzeni wote wanaotaka kukwamisha chama, anza na hawa kabisa,

Yericko Nyerere
John Mrema
Mchome

Hawa watu hawana impact yeyote kwenye siasa za Tanzania.

Soma: Pre GE2025 - John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche
Hawa akina John Mrema sijui mtoto wa Mbowe, wote hawajawahi kupost shughuli yoyote ya chama, ila wamesubiri habari negative, tena inayoratibiwa na ccm na wao ndio wanajifanya kuivalia njuga! Safari hii wanaccm waliokuwa ndani ya cdm watafahamika.
Lusungo Ngongo TrueVoter Retired
 
Back
Top Bottom