Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,095
- 7,117
Mbunge wa Bumbuli na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, Mhe. January Makamba amesema kuwa Wana-Bumbuli wana vitu kwa kujivunia sababu wametoka mbali sana kimaendeleo ukilinganisha na miaka ya nyuma ilivyokua kwenye jimbo hilo.
Makamba ameyasema hayo wakati wa mikutano mbalimbali aliyoifanya kwenye mwezi wa tatu ndani ya Jimbo la Bumbuli na kuwataka Wananchi kuwa na imani na Rais Samia pamoja na Chama Cha Mapinduzi ambacho kina nia ya dhati ya kuhakikisha kinamaliza kero mbalimbali nchini.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Makamba amesema hapo kabla kulikua na Zahanati 14 kwa sasa ziko 39, Maji kutoka asilimia 37 hadi asilimia 78 kwa sasa, kujengwa hospital mpya ya Wilaya, Umeme kutoka Vijiji 12 hadi Vijiji 85 pamoja na kuongezeka ufaulu kwa watoto ikiwa ni sehemu ya mabadiliko na maendeleo kwa jimbo hilo.