Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document) Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba...
15 Reactions
30 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema Serikali imejipanga kikamilifu kupambana na kudhibiti rushwa katika kipindi hiki cha...
0 Reactions
3 Replies
466 Views
Ndio CHADEMA,ACT Wazalendo na wadau wengine wa maendeleo ya kweli ya Watanzania wanafanya harakati za makusudi kabisa za kuiondoa CCM madarakani.Ni sawa,na halali kabisa hasa ukizingatia jinsi CCM...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone? ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo? au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Utangulizi. Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, ambapo vyombo vya dola hutumika kudhibiti maandamano, vyombo vya habari vinakandamizwa, na wanasiasa wa upinzani hukumbwa na...
1 Reactions
0 Replies
545 Views
Wakuu hali si.......hali!! Kutokana vuta nikuvute iliyopo katika CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwa sasa ni zao la uchaguzi mkuu uliofanyika hikaribuni ndani ya CHADEMA na Antipas Tundu Lisu...
0 Reactions
2 Replies
429 Views
Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM. Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Watanzania wote kesho macho na masikio yao yatakuwa kwenye kipindi cha supa breakfast. Kumsikiliza Kamanda Lembrus Mchome yule yule mvunja nazi kwa ugoko. Ataendelea kueneza elimu ya demokrasia...
-2 Reactions
20 Replies
905 Views
Kuna watu hapa Machawa wanamdanganya huyu Raisi Samia. Raisi Samia kukitokea umwagaji damu hapa wakulaumiwa sio machawa maana watajikausha, Mchimbi ndiyo kabisa ataona nafasi yake ya kung’ara...
1 Reactions
3 Replies
562 Views
Kafulila mbunge wa Kigoma Kusini Naye mbunge machachari wa Kigoma Kusini (NCCR), David Kafulila, ambaye yuko kwenye mzozo na chama chake kilichomfukuza uanachama, alisema kinachosumbua kwa sasa...
13 Reactions
163 Replies
21K Views
Katibu Mkuu wa chama cha National League for Democracy (NLD), Hassan Doyo amechukua fomu ndani ya chama hicho kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania urais wa Tanzania, huku akieleza sababu ya kutaka...
1 Reactions
13 Replies
789 Views
Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa kampeni ya No Reform No Election ni kauli iliyokuwepo tangu siku nyingi hata kabla ya Mwenyekiti Lissu kuingia madarakani, na amelitaka kundi la...
1 Reactions
3 Replies
631 Views
Wakuu, CCM B mfitufanye wajinga bana, mnakataa wenyewe makubaliano yenu utafikiri sio nyinyi mlioshiriki kuyaweka halafu mnasema hakuna aliye nyuma yenu, na hao wauza majimbo pembeni hapo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
*JOKATE NI NGUVU MPYA YA USHINDI WA CCM 2025 * Kalamu ya: Mrisho H. Kamba – Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi CCM Taifa Ndugu Jokate Urban Mwegelo, Salamu nyingi za pongezi na heshima nyingi...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Labda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF...
19 Reactions
121 Replies
8K Views
....
3 Reactions
8 Replies
507 Views
Tanzania tunaamini kuna taasisi mbalimbali zinazosajiri Taasisi kulingana na malengo. Mfano Brella inasajiir makampuni. Wizara ya Mambo ya Ndani inasajiri Taasisi mbalimbali zikiwepo za dini, na...
1 Reactions
3 Replies
431 Views
Kuna kampuni imeanzishwa au kupewa tender inayokwamisha biashara nchini kwa kigezo cha wrong parking Kampuni hii imekuwa chanzo cha wageni kugoma kutumia bandari yetu au kupeleka image mbaya nje...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
"Demokrasia ndio inayowafanya mrudi mzungumze na katika kuzungumza mnapata jambo moja. CHADEMA ni taasisi ambayo inaongozwa na instrument's mbalimbali, lakini instrument namba moja inayoongoza ni...
0 Reactions
9 Replies
531 Views
"Haiwezekani kuna wenzetu hawajapata haki ya kuandikishwa kuwa wapiga kura Zanzibar, kisha sisi tutoke kwenda kushiriki kwenye uchaguzi kirahisi hili haliwezekani na lazima tupambane nalo" Othman...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…