ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,109
- 49,812
Taarifa iliyonukuliwa na jarida la The Africa Report ikinukuu Barua ya Wizara ya Madini inasema kuanzia May 2024 ni marufuku Kwa Wawekezaji kufanya exports ya Madini ghafi ya Lithium.
Tanzania inaungana na Nchi zingine za Afrika kama Zimbabwe, Namibia na Zambia katika initiative hii Ili kupata Value for money ya uwekezaji wa Madini haya adimu na ya teknolojia Mpya Duniani.
View: https://twitter.com/TheAfricaReport/status/1720166389342777351?t=o0YerBpJIYkTdAZYc2xseg&s=19
My Take
Hongera Serikali ya awamu ya 6 Kwa ujasiri huu.Huu uwe Mwanzo tuu Kwa Serikali kuhakikisha Madini mengine kama Dhahabu maana viwanda vipo na Madini na Madini mengine yote yatakayogundulika baadae.