Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu kundi la G55 linalohusisha makada wa Chadema wanaotaka chama hicho kishiriki uchaguzi, kumekuwa na maswali mengi kuhusu malengo ya kundi hilo. Kundi hilo linakuja na msimamo wa kutaka...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa kifupi sana G55 imekuja kuchallange uhuru na demokrasia ndani ya CHADEMA rasmi sasa tunaenda kuona mliyokua mkiyahubiri hadharani. Je mtawachukulia kama waasi kwa kuwa tofauti na mawazo na...
4 Reactions
81 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
12 Reactions
177 Replies
8K Views
Wafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa Maalim Seif kwa CUF. Njia ya kuwafukuza wanachama. Wafutwe kupitia matawi yao mmoja mmoja tena wiki hadi wiki. Njia hii itasaidia...
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Friends and Our Enemies, Kwa kinachoendelea hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kitu ambacho kilionelana tokea mwanzo kabisa kuwa kinakuja kutokea,nacho ni MPASUKO... Hatuwezi kufurahia MPASUKO huo...
4 Reactions
73 Replies
2K Views
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Tabora na Kanda Ya Magharibi wakiwemo watia nia wa Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali wametoa msimamo wao kuhusiana na kuibuka kwa kundi...
2 Reactions
6 Replies
518 Views
Wananchi wa Naipanga, jimbo la Nachingwea wasimamisha msafara wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu uliokuwa unaelekea Masasi. Mwenyekiti akasimama kuwasalimia wananchi hao...
11 Reactions
33 Replies
971 Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya "AMKA TWENDE NA SAMIA 2025" Wamefanya tambiko...
1 Reactions
5 Replies
469 Views
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi...
4 Reactions
169 Replies
7K Views
Wajumbe wa Kamati:- 1. Mhe. Jaji Mark Bomani- Mwanasheria Mkuu Mstaafu na Wakili wa Kujitegemea 2.Mhe. John M. Cheyo – Mbunge Bariadi Mashariki 3.Mhe. Iddi M. Simba – Mbunge Mstaafu Ilala 4.Mhe...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo. Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema...
3 Reactions
109 Replies
11K Views
Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha...
7 Reactions
98 Replies
5K Views
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu...
5 Reactions
70 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Tundu Lissu ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kilichojiri kwenye kikao cha Summit ya TCD...
12 Reactions
61 Replies
4K Views
Kama ikitaka kujulikana na wananchi kuujua ukweli na serikali iliyopo madarakani kuutumbua ukweli ,je inawezekana ? Kuna vifo vimetokea na kuvuma kwa aina kuwa hao wameuliwa na serikali...
4 Reactions
43 Replies
11K Views
Ninakifahamu vizuri Chama Cha Mapinduzi na kila ninaposikia kinaelezwa tofauti na ninavyokifahamu hususani na wapinzani nawaza mengi sana lakini mwishowe nahitimisha mawazo yangu kwa kusema ni...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari Kumekuwa na tabia tokea uandikishwaji wa daftari la wapiga kura lianze, wajumbe wa CCM wanapita majumbani kukusanya namba za vitambulisho hasa kwa wamamaa, tunajiuliza wanazipeleka wapi?
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Kama kuna mahali mabilioni kama sio matrilioni ya dola yanamwagwa, ni Israel. Kila wanachokifanya asilimia 95 ni mmarekani ndiye anafanya. Nashangaa kiongozi wa kitaifa wa chama anashindwa kujua...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe...
3 Reactions
92 Replies
3K Views
Tanzania ni moja ya nchi inayofuata misingi ya haki kwa watu wake na moja ya haki aliyonayo mtu ni HAKI YA KUISHI. Siku zote haki haiombwi ila inatekelezwa baada ya mtu kutimiza wajibu wake kwa...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…