"G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye...
Agenda ya CHADEMA ya No reform No Election imepelekea baadhi ya wanachama wa CHADEMA kuelekea kuasi kwa sababu ya tumbo. Wengi wao wako pale kwa kutafuta masilahi na siyo vinginevyo. Agenda hii...
Naomba kujuzwa mamlaka ya Lissu kutengua uongozi wa wanachama katika nyadhifa mbalimbali anapatia wapi kwa mujibu wa katiba ya chama ?
Na je, chama kimetoa nafasi ya yeye kufanya hivyo pasipo...
Hii ndio Taarifa ya Sasa inayozunguka mitandaoni, kwamba Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei amepata Msiba wa Mdogo wake, hivyo baadhi ya Wadau wameshiriki katika kuwapa faraja Wafiwa.
Pichani ni...
Kada wa CCM, Peter Msigwa baada yakumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi mjini Mbamba by, Ruvuma amevitaka vyama vya upinzani kunadi sera...
Ni vyama vile ambavyo vitashiriki uchaguzi mkuu na kuwasilisha wagombea na ratiba za kampeni ndivyo viruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa. Hii itaondoa mvurugano na vurugu zisizo na msingi, na...
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya...
Kumekuwa na vuguvugu na dalili za mgawanyiko kuhusu msimamo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kupitia kaulimbiu No Reforms No Election iliyoasisiwa na chama hicho chini ya mwenyekiti...
Tangu uongozi mpya wa chadema kushika hatamu, pamekuwepo na muendelezo wa uhasama wenye sura ya visasi na kushughulikiana kisiasa, ambao pia ulijidhihirisha kwenye kampeni za uchaguzi wao wa...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ni muhimu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutazama kwa makini makosa yaliyofanywa ambayo yanaweza kupelekea chama kusambaratika au hata...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wake unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 wa...
Hakuna ushahidi kwamba CCM wanataka kuona kura.
Sasa tunakuwa na laxity ambayo haijawahi kuonekana tokea Uhuru.
Hii Kampeni ya No Reform No Election, Chadema wenyewe hawakubaliani
Matatizo ya...
Inasikitisha, G55 Press conference ya nin? Itasaidia nini kuwaweka sawa na chama chenu? kwanini msiwasiliane ndani kwa ndani?
na Lisu alifanya hayo hayo, na sasa mliokuwa viongozi mnafanya hayo...
Nimepata habari muda huu huu kwamba ajali mbaya imetokea Wilani Njombe , na katika ajali hiyo Mh.Salome Mbatia amefariki. Mtoa taarifa hakuweza kunieleza zaidi maana alikuwa na wasi wasi ila...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amemwagiza Mkuu wa Polisi Wilaya ya Simanjiro kumkamata na kumweka ndani Afisa wa Polisi Kata ya Loibosiriet, Ester Tairo, kwa uzembe kutokana na kushindwa...
Catherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya...
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Bwana Isihaka Mchinjita amesema mwaka 2025 ni mwaka kuhakikisha kuwa vijana wa Tanzania hawatalia tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.