Mitume zaidi ya 400 wamuunga mkono Rais Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,600
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.

Source gazeti la Uhuru!
 
Hahahaha we jamaa hauko serious, kwamba source ni gazeti la uhuru????
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kama ni mkristo, unajua kulikuwa na mitume 12 tu waliochaguliwa na Kristo Masiha mwenyewe. Hawa ni mitume wa nani?

Kama ni muislam, unajua mtume ni mmoja tu. Hawa ni mitume wa wapi? Lucifer?
 
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.

Source gazeti la Uhuru!
Wewe na hao Mitume yako NYOTE wapumbaff
 
Utter NonSense.
 
Hata misukule nao ni mitume kwa wachawi sasa hapo chakushangaza nini?
 
IMG_2789.JPG
 
Pia nabii Tito
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.

Source gazeti la Uhuru!
 
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.

Source gazeti la Uhuru!
Maskini mitume tumbo, wajasilia dini hawana namna ni kumkubali shetani na mambo yake yote.
 
Back
Top Bottom