Makamu Mwenyekiti wa Chadema ambaye Kitaaluma ni Mwanasheria anesema Katiba ya CHADEMA inakataza Kabisa Wagombea kutoa fedha wakati wa uchaguzi Kwa sababu yoyote ile
Aidha Katiba imekataza kutoa...
Huu mwaka utakumbukwa has a kwa tukio la makosa ya kisiasa aliyofanya Tundu Lissu.
Kosa hilo ni kuibomoa kabisa taasisi kisha anatarajia akalale humo. Hatapata pa kulala kwa kuwa jengo...
WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI
Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada
Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho...
Ukweli ndio huo. Kama bara Africa ilishajifia.
Viongozi wengi wa Africa wameishia kuwa madalali wa mali za Africa kuzipeleka kwa wazungu. Ni nadra kukuta kiongozi wa Africa mzalendo anayewazia...
Katika moja ya mambo ya maridhiano baina ya Chadema na Mhe.Rais ilikuwa inahusu wafungwa wa kisiasa, Chadema waliomba mchakato wa kisheria uweze kufanyika ili watu wao waliokuwa magerezani...
Akihojiwa na wasafi media, moja kati ya viongozi waandamizi wa chadema, Mr. Wenje amesema kwamba Lissu ni moja kati ya waandamizi wa uongo katika chama hicho. Na mara kadhaa amejaribu kupenyeza...
Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited) Ambapo Mgeni Rasmi Katika Mapokezi Hayo Alikuwa Waziri Mkuu...
Mada hii itakuwa na 'Updates' za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
Tunaelekea Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani
Kadri tunavyokaribia mwaka wa uchaguzi mkuu, tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi walioko madarakani na hata wale wanaotaka...
Hii ndio Taarifa yangu ya leo ninayoileta hapa JF, Naomba tuvumiliane, Hii ni kwa sababu kuwatakia heri Wanachadema peke yao haijawahi kuwa kosa kisheria.
Haitawezekana Mimi nikiwa na akili...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mh Tundu Lisu amesema ashukuriwe hayati Ali Hassan Mwinyi kwa kuweka Msingi wa kubadilishana madaraka kwa hiyari Bila kusubiri kufukuzwa
Source Jambo TV
Happy New Year 😄
Kwa haya yanayoendelea Chadema nimekumbuka Kauli ya hayati Mrema kwamba Watanzania wanaoamini Vyama vya upinzani Akili zao Hazina Akili
Nazidi kuitafakari Kauli ya hayati Mrema kwa kuwaangalia...
Wabunge wa Nzega ni Hussein Bashe na Dr Hamis Kigwangalla
Namshauri Wenje aende Kwa Dr Kigwangalla akajifunze mipango ya siasa, Bashe yuko busy hawezi kumuona
Nimemsikiliza vizuri Wenje na...
1. Ahadi ya Kwanza ilikuwa ni Ikifika July 2024, manunuzi ya luku yatakuwa automated yaani ukinunua umeme hutokuwa na haja ya kuingiza token……zitaingia directly to your meter device
Hapa...
Ni Katika kuwekana Sawa tu
Mahakama kama Muhimili mkuu wa kutoa HAKI nchini ndio umemwachia huru George Sanga
Wengi wanafananishwa kuachiwa Kwa Mbowe Kwenye Kesi ya ugaidi na mahakama kuu...
Aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA katika Bunge la 11 ( 2015-2020) Mhe Marwa Ryoba Chacha amesema Ezekiah Wenje ni kiongozi muongo muongo sana.
Michango yao kama wabunge kwenda kwenye chama ilikatwa...
Huyu mtu bwana hana shukrani,
Yeye mwenyewe kwa kinywa chake aliwahi kukiri kuwa yeye na Magufuli waliwahi kuwa marafiki wazuri tu siku za huko nyuma na kuna majina yao ya utani nimeyasahau...
Dkt. Slaa ni mwana CCM, aliwasambaratisha chadema kwa kuwakimbia wakati UKAWA wakikaribia sana kuikamata nchi. Slaa akapelekwa hotelini Rwanda akapewa mabinti wa kihima, baadae ubalozi. Leo Dk...
Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa...