Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA. Hapa ni Namtumbo
17 Reactions
76 Replies
4K Views
Nawaonea sana huruma CCM. Hela wanazopoteza kuwahonga madalali wa kisiasa kina Mrema, Mchome, Wenje na wengineo wangezirudisha tu Tamisemi zikajenge mashule vijijini maana hazitafanikiwa kutimiza...
27 Reactions
52 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025, Jumla ya shilingi Bilioni 54.9 zimekusanywa kwenye huduma ya...
1 Reactions
7 Replies
526 Views
Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia. Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na...
29 Reactions
67 Replies
4K Views
Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, amewasilisha maombi kortini akiomba uanachama wake ulindwe, ili afungue maombi ya kupinga mchakato wa kumteua Rais Samia Suluhu...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
1)"Tuta Tawala Milele" Kumbuka Umilele ni wa Mungu pekee 2)"Tuta Tawala mpaka Yesu arudi" , Masihi wa BWANA anashirikishwa kwenye Siasa za ghiriba 3) "CCM kushinda sio lazima Mungu apende,"...
1 Reactions
0 Replies
271 Views
Kwa nafasi yangu nimefanya kazi kwa wakati tofauti na Mbowe na Zitto niseme tu hawa jamaa wanafanana sana kwenye siasa za kulinda maslahi yao binafsi. Wakati wa jakaya, ZZK ametumika sana kufanya...
0 Reactions
2 Replies
313 Views
Shaha Nurdin Mussa, mkazi wa Kitongoji cha Mkuti B, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, ameeleza kwa msisitizo kuwa wananchi wa Masasi wameshikilia msimamo thabiti wa kushiriki kikamilifu katika...
3 Reactions
16 Replies
923 Views
Jinsi ya Kusitisha Uchaguzi Usiofuata Sheria na Kuhakikisha Mshindi Halali Anatangazwa: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 21(1), inasema Hapa...
13 Reactions
115 Replies
4K Views
Mimi nimekubali kushiriki maandamano ya CHADEMA siku ya uchaguzi lakini ni vizuri watoto wa Lissu, Lema, Slaa, Heche na Maria Sarungi wawepo kama alivyofanya Mbowe. Siyo wao wako ughaibuni...
12 Reactions
133 Replies
3K Views
Aliyekuwa Katibu wa Vijana wa Vyuo vikuu Mtandao wa Wanafunzi (CHASO) wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenezi wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Jimbo la Ukonga Ndugu Eliah Mlewa Rasmi amehamia Chama Cha...
0 Reactions
5 Replies
460 Views
Maneno mazito ya Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA Taifa, Deogratius Mahinyila, wilayani Tunduru kulaani tukio la kunyimwa uwanja wa kufanya mkutano Makamu Mwenyekiti wa John Heche. Amesema...
2 Reactions
6 Replies
502 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama...
1 Reactions
46 Replies
2K Views
BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI? Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu...
19 Reactions
64 Replies
6K Views
Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document) Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba...
15 Reactions
30 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema Serikali imejipanga kikamilifu kupambana na kudhibiti rushwa katika kipindi hiki cha...
0 Reactions
3 Replies
466 Views
Ndio CHADEMA,ACT Wazalendo na wadau wengine wa maendeleo ya kweli ya Watanzania wanafanya harakati za makusudi kabisa za kuiondoa CCM madarakani.Ni sawa,na halali kabisa hasa ukizingatia jinsi CCM...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone? ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo? au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Utangulizi. Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, ambapo vyombo vya dola hutumika kudhibiti maandamano, vyombo vya habari vinakandamizwa, na wanasiasa wa upinzani hukumbwa na...
1 Reactions
0 Replies
545 Views
Wakuu hali si.......hali!! Kutokana vuta nikuvute iliyopo katika CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwa sasa ni zao la uchaguzi mkuu uliofanyika hikaribuni ndani ya CHADEMA na Antipas Tundu Lisu...
0 Reactions
2 Replies
429 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…