Jamani mimi nasema wale tunamsema vibaya Mh Rais nakumbeza mnaleta laana kwa wale tunao ona haya mambo mazito anayatenda. Kwa hakia siwezi kuweka adharani ila Mh Rais Magufuli ni zawadi ya Mungu wa Taifa La Tanzania na Mungu alie tupa wa Tz.
Mh Magufuli aliyo yafanya kwakipindi hiki kichache ndugu zanguni tumuogope Mungu tumuogope Mungu Huyu ndie yule alie tabiriwa na Mwl. Ndugu zanguni Mh Rais huyu ametisha nasema tena ametisha mimi nasema sio yeye anafanya haya ipo nguvu kutoka juu inamfanya kuyafanya haya huyu sio yule Magufuli waziri huyu ni Magufuli wa tofauti sana.
Jamani haya tunayaona ya utumbuwaji nisehem ndogo sana ya kazi anaifanya kiukweli navipongeza vyombo vya usalama na ulinzi kwakumsaidia rais kufika hapa.
Naiona paradiso ndogo tz wanyaman na kila mtanzania kuwa sawa mbele ya sheria yani ama kwa hakika haijawahi tokea huyu ndie yule tulikuwa tukimsubiri kumsaliti nikujitafutia vilio visivyo na mwisho, shime Mh Magufuli.