Wakuu Salaam.
Kwenye bunge la kumi na moja, na ndani ya Serikali ya awamu wa Tano, Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na Baadhi ya Wabunge, Wamehamia Chama cha Mapinduzi, kwa kile walichosema...
Katika majimbo yote hapa Tanzania, kwa Bukoba mjini CCM mtachezea kichapo cha karne.
Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo, kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge? Hapo CCM jiandaeni...
Kumekuwa na uwakilishi wa makundi mbalimbali Bungeni ila hili kundi la wana-diaspora limesahalika kabisa.
Wa-Tanzania hawa wanao litoa jasho lao ughaibuni wana issues zao nyingi tu ambazo...
Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi wa CCM jimbo la Butiama, mmefanya kitendo kibaya sana. Katika kura za maoni mmeshindwa kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwa kumchagua mtoto mmoja wa Baba wa taifa...
Nauliza hili swali kama raia wa kawaida ambae nimepigwa butwaa na nini kimetokea kwenye matokeo ya kura za maoni za chama tawala nchini Tanzania.
Kila mtu haamimi nini kilitokea Kawe, Kigamboni...
Mwandishi nguli na Mchambuzi Mkongwe wa habari Pascal Mayalla ametangaza nia ya kugombea ubunge.
Amesema hivyo baada ya kuona mapungufu mengi kwenye bunge lililopita, amejipima na kuona anatosha...
Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.
Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya...
Meneja wa Diamond na WCB, Babu Tale mapema leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Morogoro Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Mbunge wa jimbo la Kilombero ambaye amehama chama cha CHADEMA na kujiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) Peter Lijualikali mapema leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kugombea jimbo hilo...
Na Fundi madirisha,
Nawasalimu sana ndugu zangu wananchi wa jimbo la Singida Magharibi. Mwafanga naa! Amuchii!
Kwa ufupi ndugu zangu wa jimbo la Singida Magharibi hasa wapiga kura za maoni...
Mbunge wa zamani wa Urambo Magharibi na waziri wa wizara mbili tofauti nchini, Profesa Juma Kapuya amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kaliua, Tabora.
===
Prof. Juma Kapuya kama utakuwa...
Hali tete kwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA baada ya kukosa wagombea na kuanza kununua wagombea walioandaliwa na NCCR Mageuzi.
Ikumbukwe hawa ndio wanaojinasibu kila siku wamejiandaa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani...
Mungu hajawahi kutaniwa hata mara moja, wale wote walioaminiwa na wananchi na wakasaliti maelfu ya waliowaamini kwa tamaa ya hela hawatarejea tena bungeni kupitia sanduku la kura, hata chama...
Hatimaye siku tuliyoisubiri wana Rungwe kwa muda mrefu imefika ndugu Comrade Goodluck Mwangomango kuchukua fomu ili awatumikie wana Rungwe 2020-2025.
ANATOSHA JIMBO LA RUNGWE
Kwako mbunge wangu Mh Medard Matogoro Kalemani na waziri kamili wizara ya nishati, kwa niaba ya wanachato wapenda CCM tunakuomba tu upumzike siasa na uwaachie wengine watakao weza kuleta maendeleo...
Jamaa yangu Pascal Mayalla lazima amwagwe kwa kishindo uchaguzi maoni CCM Kawe baada ya kujiita KITIMOTO eti kwa vile aliendesha kipindi cha KITIMOTO miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati wengi...
Kwa siku mbili leo na jana CCM kinaendesha mchakato wa kupata wagombea wa nafasi za ubunge kwenye majimbo ya uchaguzi.
Na taifa zima limeelekeza macho kwenye huu mchakato ili kujua nani ataibuka...
Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.
Chanzo: Tanzania Daima
My...
Wagombea 460 wajitokeza kuchukua fomu za kugombea ubunge Kagera zoezi la uchukuaji fomu lafungwa.
=========
Mchakato wa kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.