Uchaguzi 2020 Uhakika ni kwamba hakuna mbunge yeyote Msaliti ama aliyejiuza atakayerejea bungeni 2020

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,643
218,099
Mungu hajawahi kutaniwa hata mara moja, wale wote walioaminiwa na wananchi na wakasaliti maelfu ya waliowaamini kwa tamaa ya hela hawatarejea tena bungeni kupitia sanduku la kura, hata chama kilichowanunua hakitawapitisha, mbeleko iliishia uchaguzi wa marudio.

Haya ninayoyaandika hapa yamejidhirisha kwenye uchaguzi feki wa Serikali za mitaa ambapo wasaliti wote walipigwa chini bila huruma, ama kweli Shetani hana rafiki! Uwe diwani ama mbunge kama ulisaliti waliokuchagua basi ile hela uliyolipwa baada ya kujiuza mithili ya kahaba wa Kinondoni makaburini itunze itakusaidia huko mbele.

Nimeleta uzi huu makusudi ili kuwatahadharisha mapema wasaliti wote nchi nzima wasije kusema wameviziwa .

Kwa Mujibu wa maandiko matakatifu usaliti ni laana inayotafuna hadi kizazi cha nne.

Naomba kuwasilisha .
 
Lazaro Nyalandu pia aliaminiwa na maelfu ya wana Singida Magharibu akajiuza huko CDM mithiri ya kahaba wa kinondoni makaburini. vipi nae mtamtosa 2020?
 
Mtu msaliti sio wa kumuamini hata mimi nikikurubuni halafu ukakkubaliana na mimi kwa kukupa chochote katu sitakuamini nitakutumia as toilet paper thamani yako ikipotea na kutupa tu
 
Na upinzani Sasa upo kwa wananchi walio wengiiiii kuliko hata vyama.Yani watu wanaopinga serikali hii ovu ni wananchi wengi kuliko vyama.Tafsiri yake ni kwamba huwezi ua fikra za wengi zinazokupinga.


Orodha yao tuiweke hapa.Me Naanza;

1.Mwita Waitara
2.
3.
4.
5.
6.
7.
etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushindwa kwao sio kushinda kwa wagombea wa Chadema. Jipange kupambana na CCM, kuendelea kuwawaza waliohama inathibitisha namna gani mlivyo athiriwa na maamuzi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom