Uchaguzi 2020 Kuna umuhimu wa kuwepo Muwakilishi wa Wana-Diaspora Bungeni

Mario Kejob

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
441
536
Kumekuwa na uwakilishi wa makundi mbalimbali Bungeni ila hili kundi la wana-diaspora limesahalika kabisa.

Wa-Tanzania hawa wanao litoa jasho lao ughaibuni wana issues zao nyingi tu ambazo wanataka zisikilizwe na kupatiwa ufumbuzi.

Ndio, kuna Mabalozi kwenye baadhi ya nchi lakini kuna baadhi ya issues zinahitaji attention ya Bunge.

Kwa kuwepo kwa muwakilishi wa special group hili bungeni kutasaidia kutatua changamoto zao na kuendelea kulijenga taifa from a distance by sending remittances back home.

Mchango katika kujenga uchumi ni mkubwa kwani sehemu kubwa ya kipato chao hutumwa nyumbani kuja kuendeleza uchumi wetu.

They love their country at heart and doubting their patriotism is a gross misconception.
 
Diaspora ni kama wapinzani tu, wanapenda kukomalia uraia wa nchi 2 kitu ambacho ni mtihani kwa nchi. Si ndiyo akina Lisu hao? Yaani hawa hawatakiwi kabisa kuwakilishwa.
 
Huyo mwana- diaspora atakuwa anamwakilisha nani wakati wanaishi nje ya nchi? Makundi yanayowakislihwa watu wake wako hapa nchini na wanajua matatizo ya watu wao.

Kumekuwa na uwakilishi wa makundi mbalimbali Bungeni ila hili kundi la wana-diaspora limesahalika kabisa.

Wa-Tanzania hawa wanao litoa jasho lao ughaibuni wana issues zao nyingi tu ambazo wanataka zisikilizwe na kupatiwa ufumbuzi.

Ndio, kuna mabalozi kwenye baadhi ya nchi lakini kuna baadhi ya issues zinahitaji attention ya Bunge.

Kwa kuwepo kwa muwakilishi wa special group hili bungeni kutasaidia kutatua changamoto zao na kuendelea kulijenga taifa from a distance by sending remittances back home.

Mchango katika kujenga uchumi ni mkubwa kwani sehemu kubwa ya kipato chao hutumwa nyumbani kuja kuendeleza uchumi wetu.

They love their country at heart and doubting their patriotism is a gross misconception.
 
Kumekuwa na uwakilishi wa makundi mbalimbali Bungeni ila hili kundi la wana-diaspora limesahalika kabisa.

Wa-Tanzania hawa wanao litoa jasho lao ughaibuni wana issues zao nyingi tu ambazo wanataka zisikilizwe na kupatiwa ufumbuzi.

Ndio, kuna mabalozi kwenye baadhi ya nchi lakini kuna baadhi ya issues zinahitaji attention ya Bunge.

Kwa kuwepo kwa muwakilishi wa special group hili bungeni kutasaidia kutatua changamoto zao na kuendelea kulijenga taifa from a distance by sending remittances back home.

Mchango katika kujenga uchumi ni mkubwa kwani sehemu kubwa ya kipato chao hutumwa nyumbani kuja kuendeleza uchumi wetu.

They love their country at heart and doubting their patriotism is a gross misconception.
Watatumia zoom au
 
Back
Top Bottom